HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
TARATIBU ZOTE NI ZIPI IZO???
Ukienda kuripoti:
Forms unazopewa ni
1. Payee 2. Medical 3. Next of kin 4. personal details si ndio?

Mimi nimepewa hizo. Baada ya kusubmit nimeambiwa wataniita after sometime. Hapo vitu ni complete au baaado?
No letter of contract, shahara, ela ya kujikimu cjajua.
Taratibu zote ni zipi hizo???
Twinawe Mwifwa mti mnene wizy
Bora hata wewe umepewa hizo mzee wengine wanaandikaga majina tu nakuacha copy za vyeti
 
Ukiwa unafungua Account ya Benki, nyaraka zinazohitajika ni pamoja na Cheti cha kuzaliwa(huwa kuna majina 3 kwenye hiki cheti na ndio yanayoandikwa kwenye account namba).

Sasa kwenye vyeti majina yanatakiwa yafanane na ya kwenye cheti cha kuzaliwa, kwa hiyo yatafanana pia na majina ya Account number.

Kuhusu kutumia account yenye majina tofauti na ya kwenye vyeti sina uzoefu nalo ila kwa kuhakikisha taarifa ziwe sawa na wajue kuwa mwenye account ni fulani inabidi majina yafanane
Account unaweza kutumia ya mtu yoyote kipindi tunajaza account walitushauli tusiweke account za mademu zetu tusije kulia badae😂😂😂😂😂
 
Ndugu zangu nimeanza kufuatilia huu uzi tokea 3/09/2022, nikafanya interview nne, mbili nikaingia oral mbili nikaishia written
Leo hii na mimi nimeliona jina langu ndani ya pdf. Mungu ni mwema sana ndugu zangu,
Kwa ambao bado, hakuna kukata tamaa, tupambane bila kuchoka wakati wenu utafika pia.
 
Hongera sana ukawe mtumishi mwema
 
Ndugu zangu nimeanza kufuatilia huu uzi tokea 3/09/2022, nikafanya interview nne, mbili nikaingia oral mbili nikaishia written
Leo hii na mimi nimeliona jina langu ndani ya pdf. Mungu ni mwema sana ndugu zangu,
Kwa ambao bado, hakuna kukata tamaa, tupambane bila kuchoka wakati wenu utafika pia.
Hongera sana aisee hakika wakati wa MUNGU ukifika hakuna wa kupinga nakutakia majukumu mema katika utumishi
 
Ndugu zangu nimeanza kufuatilia huu uzi tokea 3/09/2022, nikafanya interview nne, mbili nikaingia oral mbili nikaishia written
Leo hii na mimi nimeliona jina langu ndani ya pdf. Mungu ni mwema sana ndugu zangu,
Kwa ambao bado, hakuna kukata tamaa, tupambane bila kuchoka wakati wenu utafika pia.
Hongera sanaaaaa
 
Hongera sana mwamba
 
Back
Top Bottom