Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,774
- 126,716
Umeiweka kitaalamu sana Mlumbi. What a journey...Furaha yako ni furaha yetuWakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.
Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.
Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba asali.
Hatimaye leo bila shaka kupitia database, nimealikwa rasmi asalini katika chuo cha Nelson Mandela (NM-AIST) katika nafasi kama ile niliyoifanyia interview pale UDSM.
Tuweni na Subra, tusikate tamaa, tupambanie kile tunachokiamini. Ushindi upo siku moja.
ULUMBI
Hongera sana, karibu sana upande wa pili.