HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Majina ya kuitwa kazini yametoka BRELA. But what's shocking ni baadhi ya majina yaliyopo kwenye placement hayakuwepo kwenye call for interview
Ndio mana Kuna kitu kinaitwa Database, kama umekosa subiria wakati wako mkuu na wewe utatokea kwenye placement ambayo jina lako halikuwepo kwenye call for interview
 
Wakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.

Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.

Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba asali.

Hatimaye leo bila shaka kupitia database, nimealikwa rasmi asalini katika chuo cha Nelson Mandela (NM-AIST) katika nafasi kama ile niliyoifanyia interview pale UDSM.

Tuweni na Subra, tusikate tamaa, tupambanie kile tunachokiamini. Ushindi upo siku moja.

ULUMB

ULUMBI
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mchapaka kazi
 
Kama ni database wangekua wanatoa Pdf la database kama kipind cha Xavier
Sasa huoni doubt hapo Yan mfanye interview alaf yatoke majina ambayo siyo. Lazima tujiulize maswali na tupate walakini.
Database wanajumuisha na majina ya placement za waliofanya usahili. Asa kwa brela hapa Kuna ukakasi
Tutaaminije ni wa database?
Kanuni inasema kama database wapo wataalam wa Kada husika hamna haja ya kutangaza kazi au kufanyisha usahili
Majina ya kuitwa kazini yametoka BRELA. But what's shocking ni baadhi ya majina yaliyopo kwenye placement hayakuwepo kwenye call for interview
 
Wakuu habari,kuna ushuhuda hapa...hatimaye kwenye PDF la jana,na mimi nimefanikiwa kulamba asali katika moja ya mashirika ya usafirishaji nchini,yaan nmelala jobless nkaamkia asalini.
Nmemaliza chuo mwaka Jana, post yetu ya ajira imetoka mwez wa 3 mwaka huu,nmfanya written kwa mara ya kwanza ,oral kwa mara ya kwanza na nmpata placement hapo hapo!Hakika Mungu ni mwema,nmejiunga na uzi huu km miez 8 hv iliyopita na sasa nmefanikiwa kulamba asali.
Ndugu zangu,tuendelee kusali na kumuomba Mungu ,hakika atatenda kwa kadri ya mapenzi yake na muda wake. Tuko pamoja wakuu hadi kieleweke,hakuna kukata tamaa, hakuna kurud nyuma
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema
 
Kama ni database wangekua wanatoa Pdf la database kama kipind cha Xavier
Sasa huoni doubt hapo Yan mfanye interview alaf yatoke majina ambayo siyo. Lazima tujiulize maswali na tupate walakini.
Database wanajumuisha na majina ya placement za waliofanya usahili. Asa kwa brela hapa Kuna ukakasi
Tutaaminije ni wa database?
Kanuni inasema kama database wapo wataalam wa Kada husika hamna haja ya kutangaza kazi au kufanyisha usahili
Mkuu kama umekosa safari hii kubali tu jipange upya. Kama wangetaka kuchomeka watu wao wasingefanya kosa la wazi namna hiyo. Mimi ninavyojua database sio lazima uitwe palepale ulipofanyia usaili. Mfano ulifanya usaili wa afisa utumishi halmashauru siku wakihitaji afisa utumishi hata kwenye taasisi una sifa unachukuliwa
 
Yani uyu kijana sijui uyo Xavier alikuwa anaundugu nae!
Ana makasiliko sana na mtu aliyekuwepo sasa hivi
 
Kitenge hapewe heshima yake,hata Kama mzee wetu kaenda na maji kazini,ingawa mkono wake ngumu kusain barua,maana kipindi Cha katibu aliyepita Daudi,wametutesa kinoma,nafasi 3 wanatuita 5000 DUCE,alaf hakuna data base ya maana,watu wa kilimo na mifugo tuliashwa kabisa,watu tumeanza kufanya interview tangu Psrs imeanzishwa,tangu 2015 tunapambana na kutafuta kazi,ikawa nayo ni kazi yetu,nenda Rudi Dar,tumelala mno ubungo stend,lakin mwaka mmoja tu wa Rais na kitenge watu wamekula shavu taasisi kali na wizara za kimkakati,hawana baya hawa
 
Kipindi hiki mimi niliacha kuomba kazi hadi password, username ya ajira portal vyote nilisahau. Nimekuja kurecover account yangu mwaka huu
 
Mkuu kama umekosa safari hii kubali tu jipange upya. Kama wangetaka kuchomeka watu wao wasingefanya kosa la wazi namna hiyo. Mimi ninavyojua database sio lazima uitwe palepale ulipofanyia usaili. Mfano ulifanya usaili wa afisa utumishi halmashauru siku wakihitaji afisa utumishi hata kwenye taasisi una sifa unachukuliwa
Shida sio hiyo hapo waliitisha usahili brela alafu waliofanya usahili hamna hata mmoja aliyepata placement sasa hapo ni shida
Sipingani na database ni sawa ikitumika lakin kwa uzuri. Huwezi waits watu kufanya usahili alaf utoe placement asiwepo hata mmoja aliyefanya oral hii ina maana gani si Bora usitangaze hiyo kazi uchukue watu wa database
 
Kitenge hapewe heshima yake,hata Kama mzee wetu kaenda na maji kazini,ingawa mkono wake ngumu kusain barua,maana kipindi Cha katibu aliyepita Daudi,wametutesa kinoma,nafasi 3 wanatuita 5000 DUCE,alaf hakuna data base ya maana,watu wa kilimo na mifugo tuliashwa kabisa,watu tumeanza kufanya interview tangu Psrs imeanzishwa,tangu 2015 tunapambana na kutafuta kazi,ikawa nayo ni kazi yetu,nenda Rudi Dar,tumelala mno ubungo stend,lakin mwaka mmoja tu wa Rais na kitenge watu wamekula shavu taasisi kali na wizara za kimkakati,hawana baya hawa
Kipind chenu cha nyuma serikali haikutoa kibali cha kuajiri na nafasi zilikua chache lakin mama sasa hv anaajiri kwa wingi. Hivyo huwezi kuwalaumu psrs kipind cha magufuli hata kidgo
 
Shida sio hiyo hapo waliitisha usahili brela alafu waliofanya usahili hamna hata mmoja aliyepata placement sasa hapo ni shida
Sipingani na database ni sawa ikitumika lakin kwa uzuri. Huwezi waits watu kufanya usahili alaf utoe placement asiwepo hata mmoja aliyefanya oral hii ina maana gani si Bora usitangaze hiyo kazi uchukue watu wa database
Hayupo hata mmoja? Hii ni tofauti na kauli yako ya mwanzo. Mwanzoni ulisema baadhi ya watu wapo kwenye placement na kwenye interview hawakuwepo. Kitendo chako cha kugeuza geuza maneno kinaonyesha wewe ni mwongo
 
Aliyeleta taarifa sio mimi, and nimechangia Tu
Alisema kwamba placement za brela zimetoka na hamna majina ya waliofanya usahili
Sasa kosa langu lipo wapi
 
Back
Top Bottom