HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkono mtupu haulambwi. Andika barua kwa katibu mkuu utumishi kupitia kwa mkurugenzi ambatanisha na copy ya Placement mpya usiweke kwenye file nenda moja kwa moja kwa HR wako tanguliza asali halafu MPE barua yako. Akisaini tu ibebe kimbia nayo Dodoma chap kwa katibu mkuu. Huku napo ukicheza inaweza kukaa miezi 6-8
Kwan barua ya uhamisho kwa Katibu Mkuu Utumishi huwa inachukua muda gan mpaka kuipata?
 
Mkono mtupu haulambwi. Andika barua kwa katibu mkuu utumishi kupitia kwa mkurugenzi ambatanisha na copy ya Placement mpya usiweke kwenye file nenda moja kwa moja kwa HR wako tanguliza asali halafu MPE barua yako. Akisaini tu ibebe kimbia nayo Dodoma chap kwa katibu mkuu. Huku napo ukicheza inaweza kukaa miezi 6-8
Kinachofanya muda uwe wa miezi 6-8 ni nini hapa?? Kwa katibu mkuu utumishi kama details zote anazo kwann kuwepo kuchukua muda mref hivi hadi kumkamilishia mtu uhamisho???
 
Sababu ya msingi hakuna ila kila ukipiga simu utaambiwa iko kwenye mchakato au inashughulikiwa au inasubiri afisa Fulani aje kusaini ambapo huyo afisa kasafiri. Wakati mwingine foleni ya uhamisho ni kubwa hivyo mafile ni mengi hivyo First in first out.
 
Lkn kwa hapa najiuliza nn maana ya kuwa na taarfa kwenye internet???
Yaaan kuweka majina ya mtu then kutafuta taarifa zake inachukua almost mwaka[emoji3][emoji3][emoji3]
Something isn't right
 
Back
Top Bottom