Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Au sio mzee wa CPA 😅😅Niko kijiweni nakunywa kahawa nikisubiri vibarua
Au sio mzee wa CPA 😅😅Niko kijiweni nakunywa kahawa nikisubiri vibarua
vyote vyote mtaalamu. Jua kali sana ayseee leo inabidi kieleweke.Umefnya saili mwez wa ngapi mkuu au unaskilizia database?
Aysee sifahamu mtaalam
Sawa swa mtaalam tuzidi kuomba mungu inshaAllahvyote vyote mtaalamu. Jua kali sana ayseee leo inabidi kieleweke.
Kabisa IT leo hawezi kutuangushaa atafanya juu chini apress button wakuramba asali warambeSawa swa mtaalam tuzidi kuomba mungu inshaAllah
Umeotea balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisa IT leo hawezi kutuangushaa atafanya juu chini apress button wakuramba asali warambe
pdf is loading [emoji95]
Keka kama lotee aisee hongera waliopata wa benchi tuendlee kuvuta subraPSRS DUCE Mbona vijana waliofanya usaili mwezi wa kwanza hamtoi matokeo yao kuna nini ??????????????????????????????????.
Hongereni kwa kutoa pdf na hongera kwa kila iliyeramba Asali.
Mzigo huoTuwekeeni mkeka mlioupakua tujiangalie kama tumekumbukwa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mzee hata miezi 2 bado unallamika waliosbri mwaka mzima au miez8 hukoo wasemaje mkuu...tuliza boli kua mpoleNa sisi tuliofanya interview mwezi wa sita watukumbuke basi watoe placement tujiangalie kama tumo au laaah , mbona wanaishia mwezi wa 5 tu jamani? 🤔🤔🤔
Wewe Fresh graduate sio ?Na sisi tuliofanya interview mwezi wa sita watukumbuke basi watoe placement tujiangalie kama tumo au laaah , mbona wanaishia mwezi wa 5 tu jamani? 🤔🤔🤔
Hahah atakua katoka chuo juzi huyu 😅😅W
Wewe Fresh graduate sio ?
Yani sijui ndio interview yake ya kwanza aisee!, watu wanasugua benchi tangu mwezi wa pili uko ndio majina yanatoka mwezi huu, yeye wajuzi kimuhe muhe kama chote kweli kitaa kigumuMzee hata miezi 2 bado unallamika waliosbri mwaka mzima au miez8 hukoo wasemaje mkuu...tuliza boli kua mpole