HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa Reasearch yangu niliyoifanya nimegundua PSRS wanatumia Database kuajiri Incase ikatokea umebahatika kufika ORAL Mtangulize Mungu na ujibu vzuri maswali ukipata 50% umepass usivunjike moyo na idadi ya nafasi unayogombania kwa muda huo inaeza kuwa n nafasi 1 au 2 lakini mmeitwa watu 8,, ni mmoja wa watu nilionufaika na icho baada ya kufanya interview iliyokua ikihitaji watu 2 tukaitwa Oral watu 8 ..Tulikua na group letu la Whatsapp mpaka sasa watu wote 8 kwa awamu tatu tumeshpata Asali.

USHAURI WANGU KWENU AMBAO BADO MNAENDELEA KUISAKA ASALI
1. Apply Interview Zote zinazokuhusu regardless ya idadi ya watu wanaohitaji kwa mda huo isikukatishe tamaa focus kuingia database
2. Usikatishwe tamaa na mtu yeyote kuwa PSRS kuna connection au upendeleo juhudi zako binafsi zitakufanya upate asali, wako fair nime observe icho kitu
3. Fanya maandlzi vizuri consult watu waliokwisha fanya saili za kada yako husika upate past Paper maswali baadhi yanajirudia ili upate framework ya maswal na wap paku cement moore.

Nawatakia kila la kheri katika mapambano yakuisaka asali ,Natumai Mungu atawaona kila mtu kwa wakati wake kikubwa usikate tamaa ata iweje,,Tupo pamoja [emoji123][emoji123][emoji123]

All the Best Champs [emoji120]
 
Umetuongezea kifurushi cha nguvu na uvumilivu. Shukran sana
 
Maneno ya faraja sana haya mkuu Ubarikiwe.
 
Nan walilamba asali nono wale wa direct au nyinyi wa database?
 
Back
Top Bottom