HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna kada X mwezi wa tano walifanya interview dodoma MDA$LGA walikuwa wanahitaji watu 6 nachojiuliza kwenye oral waliingia watu 86 ilhali interview ya Taasisi X waliitaji watu 25 oral wakapita 75.

Je kuna muda utumishi hawatumii ratio yao walijipangia ?
 
Utumishi wanatema.tu
Screenshot_20230803-192022.jpg
 
Mi tangu nianze kutafuta ajira hakuna rangi ambayo sijaona
Tulishaga wahi kuitwa usahili Arusha TANAPA february 16 2020,vile nimefika tu Mara ghafla Corona ikapiga Arusha,usahili ukahairishwa,Nikarudi home mwanza,tukasubiria mwaka mzima mpk trh 19 January2021,nikaenda nikafik oral,nikakandwa vibaya sana,kwenye pannel walikuwa interviewers 8,kila mtu ananishambulia, walikuwa wanacheka kinoma,naulizwa mention,mi na explain(cheka tu Ila usiombe yakukute),nilipanic vibaya sna,kuona live naikosa asali ya nyuki wadogo,nililowa jasho kinoma mgongoni wakati Arusha ni baridi.may 2022 tukaomba Tena za MDAS na LGAs,tukawekwa vibaya mno mpk February 2023,tukaanza kusubiri placement kwa miezi 6 ndo nalambishwa asali ya TGS trh 12/7/2023 kwa taabu sana
 
Hongera sanaa kaka

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kumbe utumishi wanaruhusu kumcheka msaili ndani ya oral
 
Kuna kada X mwezi wa tano walifanya interview dodoma MDA$LGA walikuwa wanahitaji watu 6 nachojiuliza kwenye oral waliingia watu 86 ilhali interview ya Taasisi X waliitaji watu 25 oral wakapita 75.

Je kuna muda utumishi hawatumii ratio yao walijipangia ?
Ratio huwa inazid tutokana na uhitaji ndo maana wanachukuwa wengii ili wawapangie sehemu nyingine zenye uhitaji
 
Back
Top Bottom