Mwanangu sasa naona upo sawa, story za vijiweni... Ukichukua circle Yako ya waliolamba asali, ukichukua shuhuda za humu, majibu utayapata mwenyewe...Borea utumishi japo kuwa wananikanda lakin bado nawaamini
MAPUNGUFU YAO TUSEME...TUSIACHE....watu wanapata KAZI MUHIMBILI SIKU HIZI...wakongwe wananielewa..