HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Usinikumbushe TANROAD ya miaka ile 2014, nilienda Certify vyeti na ushamba wangu wakanipiga kila cheti buku 7 baada ya kuwashusha kutoka buku 10. Nikaenda posta nikatuma kwa EMS elfu 13500. Tangia hapo sijasikia hata interview sio written wala oral hadi leo. Nilipouliza watu wakasema wamechukua watu wanaojitolea palepale
Uncle wangu alifunga safari hadi TANROADS KIGOMA kwenye usaili wakamkanda, ni mkali kweli kweli ...yani hata umkurupushe saa TISA usiku, mpe swali la kada yake anakukanda..akaja KUTOBOA ya PSRS...mwezi uliopita kalamba BARUA ya KUTHIBITISHWA kazini...Tena analamba asali ya NYUKI wadogo Ile.
 
Oral za utumishi ziheshimiwe asee, kama hujui, hujui tu. Tulipiga oral ya Bunge June pale Bungeni, kwanza kabla hujaingi kwenye Oral kuna chumba unawekwa kama dk10 unaambiwa tulia humu urelax, hapo unasubiri mwenzako atoke kukandwa.

Baada ya hapo ndo unaingia kwa Oral sasa, kwanza unaingia kuba panelists 10, kulikuwa na Halima Mdee, wabunge nknk, hawa jamaa wakaweka mpaka mpiga kengele[emoji23][emoji23].

Maswali 8 afu kila swali una dakika 2 za kujibu ukichelewa kengele inagonga, mnakwenda next question.[emoji23][emoji1544][emoji1544].

Halima Mdee ndo anapanikisha Balaa, nimepiga oral nyingi ila za utumishi ni hatari aseee. Mle ndani ni kwa moto balaa.
Halima mdee alikuwepo kweli au unafurahisha umma
 
Uncle wangu alifunga safari hadi TANROADS KIGOMA kwenye usaili wakamkanda, ni mkali kweli kweli ...yani hata umkurupushe saa TISA usiku, mpe swali la kada yake anakukanda..akaja KUTOBOA ya PSRS...mwezi uliopita kalamba BARUA ya KUTHIBITISHWA kazini...Tena analamba asali ya NYUKI wadogo Ile.
asali kutoka Tabora sio 😆 😆
 
Back
Top Bottom