Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,109
- 4,133
hahahahaNilijua tyuu lazima utarudi kwenye uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaNilijua tyuu lazima utarudi kwenye uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]....mbona mapema tunakata tamaa kuna watu walikuwa wanaunga mkono ishu hii ya Taasisi kuajiri yenyewe tuwe wapole mwisho wa siku kuja kushtuka watu washapanga kikosi chao wengine tunaenda kuwa watazamani tu..... Tutarudi kuongea lugha moja...Point kabisa kaka.... Et sababu et psrs wanawapelekea watu wasiokuwa washindani?
Vyuo vile vile , elimu ile ile why?
Hii ngoma ikamatwe na psrs tu kule tu ndio kwenye haki.
Mie sikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanapiga promo kuwa taasisi ziajiri wenyewe, na unyonge wangu nimeshakula placement yangu nimetulia kupitia psrs,,[emoji3][emoji3][emoji3]....mbona mapema tunakata tamaa kuna watu walikuwa wanaunga mkono ishu hii ya Taasisi kuajiri yenyewe tuwe wapole mwisho wa siku kuja kushtuka watu washapanga kikosi chao wengine tunaenda kuwa watazamani tu..... Tutarudi kuongea lugha moja...
Naona pic inaaza nw....
Shule ya msingi nimesoma masomo yote kwa kiswahili isipokuwa somo la kiingereza na wanafunzi wote tulikuwa waswahili. Lakini pamoja na kuweza sana kuzungumza kiswahili baadhi ya wanafunzi walipata F mpaka zero wakati mwingine kwenye mitihani yao."KUPANGA ni KUCHAGUA"
Wewe KOMAA na HOW wakati WENZAKO WANAKOMAA na MENTION, then SUBIRIA PDF ya IT uone PLACEMENTS na SHUHUDA za wana wakilamba asali, hii ni VITA ya KIUCHUMI..wanangu PAMBANENI na VINAVYOULIZWA, haya MAMBO ya kujifananisha na KENYA sijui na LONDON hayana tija kwa Sasa...humu tunapeana mbinu za namna ya KUWAKANDA WAKANDAJI...
Kuna jamaa anaitwa Blender ndio alikuwa kinara[emoji3][emoji3][emoji3]....mbona mapema tunakata tamaa kuna watu walikuwa wanaunga mkono ishu hii ya Taasisi kuajiri yenyewe tuwe wapole mwisho wa siku kuja kushtuka watu washapanga kikosi chao wengine tunaenda kuwa watazamani tu..... Tutarudi kuongea lugha moja...
Naona pic inaaza nw....
Atakuwa kala kitengo TRA kabla ya usaili. 😂😂😂Kuna jamaa anaitwa Blender ndio alikuwa kinara
MTU mwenye content ni rahisi sana kumuelekeza kazi kuliko wale You know this you know that halafu content sifuriShule ya msingi nimesoma masomo yote kwa kiswahili isipokuwa somo la kiingereza na wanafunzi wote tulikuwa waswahili. Lakini pamoja na kuweza sana kuzungumza kiswahili baadhi ya wanafunzi walipata F mpaka zero wakati mwingine kwenye mitihani yao.
Nikaenda secondary nikakutana na wanafunzi yenye background kama yangu lakini pia tukakutana na watoto wa magari ya njano, ee bwana eee nusu kukimbia shule kwa kuhofia kutotoboa lkn tukakaza hivyohivyo mwisho wa siku walitushinda kwenye dabate na morning speech 😃😃😃 lakini class na academic performance kiujumla tukawashinda mbaliiii na walipokwama tuliwasovia bila khiyana kwa sababu ni washkaji zetu na hawakutuoshea kwa sababu walitushinda debate😄😄😄.
Nilichojifunza uwezo wa kuzungumza lugha(nakusudia kienglish😃 ) kwa ufasaha haimaanishi wewe ni smart sana.
cc. Multi skilled 😂😂😂
Ndio hvy camp, kuongea kingereza sio kuwa na akili, sembuse walevi mateja wanaongea kinge kilichoyooka afu mtu anapima uwezo wa mtu kwa kuongea kingereza hapo big no, labda kama unafanya kazi ya translation and interpretation labda. Sababu kazi tunazopewa ni kwenda kuhudumia wananchi na wananchi wanaongea kiswahili.Shule ya msingi nimesoma masomo yote kwa kiswahili isipokuwa somo la kiingereza na wanafunzi wote tulikuwa waswahili. Lakini pamoja na kuweza sana kuzungumza kiswahili baadhi ya wanafunzi walipata F mpaka zero wakati mwingine kwenye mitihani yao.
Nikaenda secondary nikakutana na wanafunzi yenye background kama yangu lakini pia tukakutana na watoto wa magari ya njano, ee bwana eee nusu kukimbia shule kwa kuhofia kutotoboa lkn tukakaza hivyohivyo mwisho wa siku walitushinda kwenye dabate na morning speech 😃😃😃 lakini class na academic performance kiujumla tukawashinda mbaliiii na walipokwama tuliwasovia bila khiyana kwa sababu ni washkaji zetu na hawakutuoshea kwa sababu walitushinda debate😄😄😄.
Nilichojifunza uwezo wa kuzungumza lugha(nakusudia kienglish😃 ) kwa ufasaha haimaanishi wewe ni smart sana.
cc. Multi skilled 😂😂😂
Mkuu ulilamba asali ya TPDC OR NIRC ?Mie sikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanapiga promo kuwa taasisi ziajiri wenyewe, na unyonge wangu nimeshakula placement yangu nimetulia kupitia psrs,,
Mwezi wa tano huu TRA wako wapi?😅
Privacy mkuu 😊Mkuu ulilamba asali ya TPDC OR NIRC ?
au privacy izingatiwe kwanza mzee
Mie sikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanapiga promo kuwa taasisi ziajiri wenyewe, na unyonge wangu nimeshakula placement yangu nimetulia kupitia psrs,,
Mwezi wa tano huu TRA wako wapi?[emoji28]
Ila kwenye taasis kama huna connection usijisumbue, borea psrs waendelee na mchakato at least wapo fairAcheni uongo, toka dirisha lifungwe ni mwezi huu 15/08 ndo mwezi wa2. Utumishi shortlisted walikuwa wanatumia miezi 6
Ila kwenye taasis kama huna connection usijisumbue, borea psrs waendelee na mchakato at least wapo fair
Wanaopinga psrs ni wale wa connection labda maana taasis haiwezi lalamika eti tunaletewa watu wasio competent kwani hamna training n supervising huko kazini. Hamna aliyeanza kazi anajua wengi walifundishwa.
Ndio psrs changamoto zipo kama vile kuchukua mda mrefu kuita watu kazini na mengine kiasi
Serikali ingezidi kuboresha psrs na kutafuta suluhisho la kudumu within psrs sio tena waturudishe tulipotoka.
Inakua kichekesho kama RC mmoja aliwaambia wananchi wake msilime tena tangawizi sababu zimekua nyingi pandeni maparachichi asa nikajiuliza mfano parachichi zikazaa nying atasema tena msilime parachichi rudini kwenye tangawizi au limeni vitunguu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani serikali itafute suluhisho kwa psrs na ingependeza ajira zote za kudumu zipitie psrs Yani zote kuanzia taasis wizara Kila mahali penye mkono wa serikali. Alafu ajira za muda mfupi zibaki kwa taasis na mashirika.
Tena serikali wangefuta suala la kujitolea ili watuajiri vijana iwe field tu kufanya bure hamna kitu na kujitolea ipigwe marufuku
Hii itasaidia taasis kutoa ajira za mda mfupi na psrs kuajiri kwa wingi
Fair unayozungumza ni ipi....TRA watakuwa fair, nepotism zipo kila sehem
Fair unayozungumza ni ipi....
sawa kiongozi.....Tutarudi hapa kuongea lugha moja bora irudi UtumishiProcess zote za usahili, kingine kuomba Mungu.
sawa kiongozi.....Tutarudi hapa kuongea lugha moja bora irudi Utumishi