HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mwifa hebu tueleze hii maana mfano kuna watu nilifanya nao oral mwaka jana mwezi wa 9 tulikosa placement lkn wakapata mwaka huu mwezi wa 6 taasisi ile ile japo nafasi za mwaka jana zilitoka zote,kuna watu nikafanya nao mwezi wa pili mwaka huu,yaan jamaa wote wakatoka nikabaki mimi pamoja na kujiona nilijibu fresh lkn sijapata placement.nikasema sio bahati yangu kama kusoma nilisoma zote hizo oral mbili japo 2020 nilishafika oral nyingine ambayo pia sikupata lkn ilikuwa ni halali nikose maana maswali yalinitoa out,nikatulia na kuendelea na mambo mengine maana haya mambo yanakatisha tamaa kabisa na kuona kama labda wengine hatujaandikiwa tu labda...jamaa zangu waliopata wao waliamini labda mm ndio ningepata kabla yao lkn wao ndio wamekuwa wafariji wangu ila kwa sasa nimekuwa msomaji tu humu maana kelele za humu sijui status,sijui matokeo ya oral tulionza na uzi huu tumeshaongea sana tukachoka labda nisubiri miaka mingine ijayo ndio niombe.
Sina jibu la uhakika ila nafikiri ni hivi.

Hao waliofanya oral mwaka jana halafu walikosa nafasi baadae mwaka huu wakaitwa kwenye taasisi ile ile waliyoifanyia oral ni kwa sababu nafasi zilipopatikana tena zikapelekwa PSRS ili zitangazwe, kabla ya kutangazwa ikaangaliwa Database na wakakuta kumbe kuna watu, tena walifanyia oral hiyo taasisi ndipo wakapangiwa hizo nafasi.

Kanuni zinaeleza bayana jinsi watakavyokuwa wanachagua watu kuwapa nafasi, kigezo mojawapo ni marks za oral, waliofaulu zaidi wataanza kuchaguliwa ila itazingatiwa pia kigezo cha umri, jinsia, ulemavu.

Ukikosa ujue bado upo kwenye foleni endapo kama marks zilifika 50+

Pia ni rahisi(sina uhakika lakini) mtu kupata nafasi kutoka database kwenye taasisi aliyoifanyia oral kama ulivyoona jamaa zako wakipata baada ya kukosa kwenye placement ya mwanzo.
 
Nakuelewa Sana mkuu
 
Baada ya kuwatukana kama simbilisi asubuhi leo , nusu saa mbele ndio wakatoa placement , Sekretarieti ya Ajira nitakuwa nawashushia maneno mazito kila siku ,ili mtoe mikeka haraka .kumbe mpo humu mnatuchora tu .@Sekretarieti ya Ajira
Kesho toeni mikeka ya MDA &LGA ya mwezi WA sita la sivyo natoa tusi zito kesho ,msinijaribu
Hongereni mliolamba asali
 
😂😂😂😂😂😂 matusi tenaa
 
Mwifa hebu tueleze hii maana mfano kuna watu nilifanya nao oral mwaka jana mwezi wa 9 tulikosa placement lkn wakapata mwaka huu mwezi wa 6 taasisi ile ile japo nafasi za mwaka jana zilitoka zote,kuna watu nikafanya nao mwezi wa pili mwaka huu,yaan jamaa wote wakatoka nikabaki mimi pamoja na kujiona nilijibu fresh lkn sijapata placement.nikasema sio bahati yangu kama kusoma nilisoma zote hizo oral mbili japo 2020 nilishafika oral nyingine ambayo pia sikupata lkn ilikuwa ni halali nikose maana maswali yalinitoa out,nikatulia na kuendelea na mambo mengine maana haya mambo yanakatisha tamaa kabisa na kuona kama labda wengine hatujaandikiwa tu labda...jamaa zangu waliopata wao waliamini labda mm ndio ningepata kabla yao lkn wao ndio wamekuwa wafariji wangu ila kwa sasa nimekuwa msomaji tu humu maana kelele za humu sijui status,sijui matokeo ya oral tulionza na uzi huu tumeshaongea sana tukachoka labda nisubiri miaka mingine ijayo ndio niombe.
Dah pole sana kk hauko peke yako subra tu kiongzi tusikate tamaa
 
Back
Top Bottom