HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongereni wote mliolamba Asali. Mkawe watumishi wema.

Nimefurahi kuona watu wengi ninaowajua kwenye mkeka huu.

My colleagues wa Advance, Chuo wameingia kundini.

Huyu wa Advance kasota sana, kaanza kupiga Oral muda sana hata kabla mimi sijaanza kuapply ila hakukata tamaa, leo hii kalamba Asali.

Hakikisha unapambana hadi kieleweke, shida huwa zipo lakini hazidumu.
Inatia moyo hii, mpe pongezi zake
 
hu mwezi wa saba wale wa kada za afya hongereni.[emoji28] muhimbili ile ni database au? leteni ushuhuda na nyie
Ni database, kuna wapo nilifanya nao written mwaka jana. Mimi nikaishia CBSL wao kumbe walienda hadi Migiro.

Ila technic kutokana na nafasi ndio zinafanya utofauti wa kuingia kundini.

Unaweza kupiga oral mapema ukachelewa kuingia kundini ukilinganisha na mwingine aliyechelewa kupiga oral kwa mwajiri mwingine.
 
kwa kweli Database inafanya kazi . hongera kwao waliolamba asali MNH
 
Ni database, kuna wapo nilifanya nao written mwaka jana. Mimi nikaishia CBSL wao kumbe walienda hadi Migiro.

Ila technic kutokana na nafasi ndio zinafanya utofauti wa kuingia kundini.

Unaweza kupiga oral mapema ukachelewa kuingia kundini ukilinganisha na mwingine aliyechelewa kupiga oral kwa mwajiri mwingine.
Mwifa hebu tueleze hii maana mfano kuna watu nilifanya nao oral mwaka jana mwezi wa 9 tulikosa placement lkn wakapata mwaka huu mwezi wa 6 taasisi ile ile japo nafasi za mwaka jana zilitoka zote,kuna watu nikafanya nao mwezi wa pili mwaka huu,yaan jamaa wote wakatoka nikabaki mimi pamoja na kujiona nilijibu fresh lkn sijapata placement.nikasema sio bahati yangu kama kusoma nilisoma zote hizo oral mbili japo 2020 nilishafika oral nyingine ambayo pia sikupata lkn ilikuwa ni halali nikose maana maswali yalinitoa out,nikatulia na kuendelea na mambo mengine maana haya mambo yanakatisha tamaa kabisa na kuona kama labda wengine hatujaandikiwa tu labda...jamaa zangu waliopata wao waliamini labda mm ndio ningepata kabla yao lkn wao ndio wamekuwa wafariji wangu ila kwa sasa nimekuwa msomaji tu humu maana kelele za humu sijui status,sijui matokeo ya oral tulionza na uzi huu tumeshaongea sana tukachoka labda nisubiri miaka mingine ijayo ndio niombe.
 
Kwan bwana mwifa kama una uelewa hebu tueleze hii inakuwaje maana nasikia sikia tu unakuta wanasema kuwa huenda mtu unakuwa ushapangiwa placement ila taasisi yako ikakaa hata miezi minne mbele ndio ikahitaji hao wafanyakazi
 
Na status zako Zote ziko selected for oral.

Back
Top Bottom