HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tuendelee kuvuta subira jamaa yetu tutatoboaa muda si mrefu.
Kwa namna oral hizi mbilo nilivyojibu,daah basi sijui nilikwama wapi maana kila kitu nilifanya kwa usahihi ila yote tunamuachia Mungu maana huenda watu walifanya zaidi yangu.

Kinachouma mpaka watu wanadai matokeo ya oral ni kwa sababu mpaka kuingia oral yenyewe hiyo ni bahati tu
 
Ivi wataalamu mbona sijawahi kuona vacancies za TBS ???? kuna nini??*
Kwani hizi za wizara ya madini ulishaona psprs wakitangaza? We endelea kufuatilia placements unaweza ukaona watu wamepelekwa maana nafikiri wanatoa au kuita watu kazini kulingana na kibali kutoka taasisi husika. Cha muhimu ni kuendelea kumuomba Mungu tu siku yako yaja.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
kweli mkuuu hizi ni miongoni mwa taasisi nono
 
Kwa namna oral hizi mbilo nilivyojibu,daah basi sijui nilikwama wapi maana kila kitu nilifanya kwa usahihi ila yote tunamuachia Mungu maana huenda watu walifanya zaidi yangu.

Kinachouma mpaka watu wanadai matokeo ya oral ni kwa sababu mpaka kuingia oral yenyewe hiyo ni bahati tu
post zilikuwa ngapi na written ulikuwa position gan mkuu
 
Mwifa hebu tueleze hii maana mfano kuna watu nilifanya nao oral mwaka jana mwezi wa 9 tulikosa placement lkn wakapata mwaka huu mwezi wa 6 taasisi ile ile japo nafasi za mwaka jana zilitoka zote,kuna watu nikafanya nao mwezi wa pili mwaka huu,yaan jamaa wote wakatoka nikabaki mimi pamoja na kujiona nilijibu fresh lkn sijapata placement.nikasema sio bahati yangu kama kusoma nilisoma zote hizo oral mbili japo 2020 nilishafika oral nyingine ambayo pia sikupata lkn ilikuwa ni halali nikose maana maswali yalinitoa out,nikatulia na kuendelea na mambo mengine maana haya mambo yanakatisha tamaa kabisa na kuona kama labda wengine hatujaandikiwa tu labda...jamaa zangu waliopata wao waliamini labda mm ndio ningepata kabla yao lkn wao ndio wamekuwa wafariji wangu ila kwa sasa nimekuwa msomaji tu humu maana kelele za humu sijui status,sijui matokeo ya oral tulionza na uzi huu tumeshaongea sana tukachoka labda nisubiri miaka mingine ijayo ndio niombe.
Katika maisha kuna msemo unasema juhudi haishindi Kudra!
 
Kwa namna oral hizi mbilo nilivyojibu,daah basi sijui nilikwama wapi maana kila kitu nilifanya kwa usahihi ila yote tunamuachia Mungu maana huenda watu walifanya zaidi yangu.

Kinachouma mpaka watu wanadai matokeo ya oral ni kwa sababu mpaka kuingia oral yenyewe hiyo ni bahati tu
Scenario yako mkuu ni kama Yangu aixee, Mwaka huu nimefanikiwa kuingia Oral mbili na Pdf zishatoka japokua sijapenya Najua wakati wa Mungu ni sahihi kinachonipa Matumaini niliokua nao wameshaitwa kupitia Database wengine tumebaki tunasubiri.
 
mkuu ujue kuingia oral sio mchezo yaan mimi huwa nahesabu ni kama bahati tu na ndio maana maandalizi ya oral huwa yanakuwa makubwa sanaa kwa sababu mule ndio kila kitu ila basi tu ukiwaza sana unaweza kuchanganyikiwa tu
 
Kweli Mkuu na mimi nakiri Oral ya Kwanza ilinichanganya maana ni Mara ya kwanza nilipanick, Ila ya Pili nilijibu Fresh tu bila presha ila ndio hivyo Tunasubiri wakati wa Bwana. Maana bado miezi zaidi ya 5 kusubiri Since January. Wadau wengi niliopiga nao washalamba Asali via Database.
 
Oral mojawapo niliyofanya nafasi zilikuwa 8 na written nilikuwa niongoni mwa top 4,hiyo nyingine nafasi zilikuwa 40+ na written nilikuwa miongoni mwa top 10. Stelingi
tuendelee kupiga saili zingine tutatoboa muda si mrefu.

Lakini kuna jambo inabidi turekebishe nafikir huenda ni sabababu kubwa wengi kukosa nafasi sometimes
 
Nimekandwa nikakandika 😀 😂 😂 😂

mkeka uliotoka wikend 22/07/2023 bahati mbaya nilikuwa busy sikuja humu
Ile suala la status both ipo selected for Oral app n web. Labda nipo databse😎

Nilifanya usahili mara ya kwanza 2015, nikaingia zote Oral, baada ya hapo niliachana na mishe za PSRS , Nilikuwa naomba kazi, naitwa ila siendi kwenye usahili toka 2016-mpaka mwaka huu 2023 ndio nimeenda kwa mara ya kwanza, Written nikapiga nikfaulu, Practical nikapiga nikafaulu, ila kufanya hizi sahili ukishakuwa mtu mzima kusoma ni kazi kmkmk.

Rafiki yangu kapata via DATABASE alifanya usahili mwezi wa kwanza akakosa, mwezi wa tano kapata. Kikubwa msikate tamaa,endeleeni kupambana, bahati yako ikifika utapata hata kama swali 1 uliambiwa 1+1 ukajibu ni =11😂
 
Kikubwa iman mkuu maana jitahada zilishaonekana Hadi kuingia oral interview. Ni suala la wakati tu
 
Back
Top Bottom