Ya blue sio njanoNjano piga picha
Ya blue sio njanoNjano piga picha
LaYa blue sio njano
Uhusiano upo ki-ainaRelax mkuu according to psrs hakuna uhusiano wa placement na status muombe Mungu kama Ni yako itakuwa na kama hukupangiwa haiwezi kuwa.
La
Nani aliyekwambia Kuna uhusiano?Uhusiano upo ki-aina
Kutokana na shuhuda mbalimbali kutoka kwa wadau.Nani aliyekwambia Kuna uhusiano?
Aya jamaa angu ilikuwa hivo kalamba asali temesa Leo unasemaje?Kutokana na shuhuda mbalimbali kutoka kwa wadau.
Achana na habari za jamaa yako, tunataka shuhuda zisizo za kusadikika.Aya jamaa angu ilikuwa hivo kalamba asali temesa Leo unasemaje?
Sawa usijali.Achana na habari za jamaa yako, tunataka shuhuda zisizo za kusadikika.
Duuh hii inakua ni zali la mental. Kwa maana kwamba alipiga written ila hakuingia oral na kalamba asali au mimi ndio sijaelewa mkuu!Jamani huyu Ni mwenzangu tumepiga saili pamoja kwenye web alikuwa na selected for oral
App not selected for oral
Kalamba leo asali temesa.
Amepiga oral ila kwenye statusDuuh hii inakua ni zali la mental. Kwa maana kwamba alipiga written ila hakuingia oral na kalamba asali au mimi ndio sijaelewa mkuu!
Nakuombea mkuu, Sina nia ya kukuvunja moyo. Naamini kupitia wewe huu mjadala utafikia tamati siku za usoni. Kila la kheri mkuuSawa usijali.
Tuko pamoja mkuu nazidi kusali.Nakuombea mkuu, Sina nia ya kukuvunja moyo. Naamini kupitia wewe huu mjadala utafikia tamati siku za usoni. Kila la kheri mkuu
Umefanya naye oral yeye kapata cyoTuko pamoja mkuu nazidi kusali.
Naona mama(rais) ameamua ""Degree wanalamba asali ...Saivi psrs wanajitahidi sanaa kutoa placement. Hongera kwao. Naomba kazi iendelee ivi ivi
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app