Kabisa kakaTunatofautiana kuna sisi watoto wa maskini ambao tuna watu nyuma walijinyima ili tusome ili walau tukipata tulete unafuu kidogo kwenye familia furaha zetu haziwezi kufanana na za wengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MATOKEO YA ORAL NI HAKI YETU🙌Waache ukuda psrs , wamwage mikeka ya kutosha waliopiga interviews tayari wapate kazi sio kukomaa kutoa matangazo ya kazi kila siku wakati kuna kundi kubwa la watu bado wanasubiri placement ,upuuz huo
Kweli mkuu kuna wengine kipindi anaenda kupiga Interview unakuta hajapata asali labda private sasa mpaka Utumishi wanakuja kumchukua unakuta ashalamba asali private. Kwahiyo anaona kawaida.Tupo tofauti mkuu wengine wana maisha tyri so sio kitu cha kuwastua,sisi wenye njaa tusio na ramani ndio tunaofrhi sana
You have nailed it,Napenda kuchukua nafasi hii, KUMSHUKURU MUNGU, kuwashukuru ndugu zangu wote humu ndani, tunapeana faraja sana, Mimi nilikua sijui kama kuna App, nimejulia humu, nikadownload na kucheck ipoje, ikanipa MOYO zaidi kutokana na shuhuda za watu,
Kikubwa ni KUPAMBANA..
#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Ukiangalia idadi ya interview zilizofanyika na placement zinazotolewa unachoka kabisaWaache ukuda psrs , wamwage mikeka ya kutosha waliopiga interviews tayari wapate kazi sio kukomaa kutoa matangazo ya kazi kila siku wakati kuna kundi kubwa la watu bado wanasubiri placement ,upuuz huo
Tupo tofauti mkuu wengine wana maisha tyri so sio kitu cha kuwastua,sisi wenye njaa tusio na ramani ndio tunaofrhi sana
Tunatofautiana kuna sisi watoto wa maskini ambao tuna watu nyuma walijinyima ili tusome ili walau tukipata tulete unafuu kidogo kwenye familia furaha zetu haziwezi kufanana na za wengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa kaka
Kweli mkuu kuna wengine kipindi anaenda kupiga Interview unakuta hajapata asali labda private sasa mpaka Utumishi wanakuja kumchukua unakuta ashalamba asali private. Kwahiyo anaona kawaida.
Bado kumenuna tu!!Status zinasemaje uko
SELECTED FOR Oral both App &WebStatus zinasemaje uko
Safii watoe PDF zilizoshiba Sekretarieti ya AjiraRamli ya wiki hii
Monday 45%
Tuesday 89%
Wednesday 75%
Thursday 80%
Friday 100%
Kua mpole mkuuSiku hiyoooo imeenda jamaa wanakazi ya kuweka matangazo ya kazi halmashauri placement kwao ngumu sana kuweka.
Hawa watu wa ajabu sana. Sielewi wanashida gani.
Ikifika saa nne hakuna pdf,,hyo imeenda[emoji1787][emoji1787]Siku hiyoooo imeenda jamaa wanakazi ya kuweka matangazo ya kazi halmashauri placement kwao ngumu sana kuweka.
Hawa watu wa ajabu sana. Sielewi wanashida gani.
Aaaah au sioKua mpole mkuu
Maana hata ukiwafokea hawajali wanafnya vile wanatka kufanya so bora kua wapole tu,tuendlee kusota kitaaAaaah au sio