๐คฃ๐คฃ๐คฃ Naomba uwaulize na kuhusu statusMnasalimiwa sana na MASJALA ya WAZI hapa, wanasema tukipata PSRS wazuri, TUKIKOSA wanapanga WATU wao a.k.a CONNECTION... ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
hujawauliza kuchelewa kwa placement mkuu??Mnasalimiwa sana na MASJALA ya WAZI hapa, wanasema tukipata PSRS wazuri, TUKIKOSA wanapanga WATU wao a.k.a CONNECTION... ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Hilo ndo swali la kwanza, wamesema BARUA Ili IKAMILIKE LAZIMA IWE na SIGN ya KATIBU mkuu...PSRS...sasa hilo JIBU wazee ni la KIUANDAMIZI sana...hapa unaona KABISA issue hii haiwekwi wazi...hujawauliza kuchelewa kwa placement mkuu??
Yan hii siku itakapofika pdf moja litoke na mimi nilione jina langu afu niende dom kuchukua barua kama ivi aisee hiyo feeling sijui itakuwaje ๐๐๐๐๐๐๐Hilo ndo swali la kwanza, wamesema BARUA Ili IKAMILIKE LAZIMA IWE na SIGN ya KATIBU mkuu...PSRS...sasa hilo JIBU wazee ni la KIUANDAMIZI sana...hapa unaona KABISA issue hii haiwekwi wazi...
Maana kabla ya kuondoka nikaambiwa nikague KAMA kuna SIGN na MUHURI wa MOTO.
Mtatoboa wana, uzi huu ndo ulinipa maarifa mengi sana ya kujiandaa..Zile nondo zilizokua zinashushwa Huku jinsi WAKANDAJI wanataka, usikae KIMYA, JIBU KWA UTULIVU, USIKAE KAMA ROBOT, TUMIA MIKONO KUONGEA..vyote nilikua naiba humu..wazee๐ ๐nikicheki background ya huu uzi mpaka ulipofikia ni wakongwe wachache sana ambao hatujalamba asali
ngoja tuendelee kusoma ramani
Halafu"SECRETARY WETU" nimemuona nikamkumbusha tukacheka sana, maana ile siku wakati natoka nilimwambia AUNTIE mtatuua na HIKI KIINGEREZA ...wengine tumesoma KAYUMBA...๐ ๐ ๐ ๐Yan hii siku itakapofika pdf moja litoke na mimi nilione jina langu afu niende dom kuchukua barua kama ivi aisee hiyo feeling sijui itakuwaje ๐๐๐๐๐๐๐
Na ukatoboaMtatoboa wana, uzi huu ndo ulinipa maarifa mengi sana ya kujiandaa..Zile nondo zilizokua zinashushwa Huku jinsi WAKANDAJI wanataka, usikae KIMYA, JIBU KWA UTULIVU, USIKAE KAMA ROBOT, TUMIA MIKONO KUONGEA..vyote nilikua naiba humu..wazee[emoji28][emoji28]
Halafu"SECRETARY WETU" nimemuona nikamkumbusha tukacheka sana, maana ile siku wakati natoka nilimwambia AUNTIE mtatuua na HIKI KIINGEREZA ...wengine tumesoma KAYUMBA...๐ ๐ ๐ ๐
Ndio bro ningeshamove on lakin kwa sasa najitahidi niachane na psrs lakin nashindwa
Amiin mkuu Allah ajlieKwa kweli ni furaha sana ukirudi ๐๐๐
Ngoja tuendelee kuvuta subira inshallah ma pdf yatashushwa na sisi tutapata๐
Yan hii siku itakapofika pdf moja litoke na mimi nilione jina langu afu niende dom kuchukua barua kama ivi aisee hiyo feeling sijui itakuwaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
๐๐๐๐Yani wewe kama mimi tuu nione jina kwa pdf kwanza nikiona jina iyo furaha yake siipatii picha
alafu nipande gari sasa kuelekea dom, aki nitajikuta na smile tuu kwenye gari hadi na fika dom.
Lazima furaha iwe kubwa maana sio kwa msoto huu dahYani wewe kama mimi tuu nione jina kwa pdf kwanza nikiona jina iyo furaha yake siipatii picha
alafu nipande gari sasa kuelekea dom, aki nitajikuta na smile tuu kwenye gari hadi na fika dom.
Kabisa yaaniLazima furaha iwe kubwa maana sio kwa msoto huu dah
Lazima furaha iwe kubwa maana sio kwa msoto huu dah
Tupo tofauti mkuu wengine wana maisha tyri so sio kitu cha kuwastua,sisi wenye njaa tusio na ramani ndio tunaofrhi sanaKuna mdada alipataga jina lake kwa placement nikampa hongera nikamuambia sipati picha ulivofurahi,
Akajibu
nimefurah kawaida sana, nikajisemea kumbe kuna watu upokea taarifa nzuri kama za kulamba asali alafu kwao ikawa kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mnasalimiwa sana na MASJALA ya WAZI hapa, wanasema tukipata PSRS wazuri, TUKIKOSA wanapanga WATU wao a.k.a CONNECTION... [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tunatofautiana kuna sisi watoto wa maskini ambao tuna watu nyuma walijinyima ili tusome ili walau tukipata tulete unafuu kidogo kwenye familia furaha zetu haziwezi kufanana na za wengine ๐๐๐๐Kuna mdada alipataga jina lake kwa placement nikampa hongera nikamuambia sipati picha ulivofurahi,
Akajibu
nimefurah kawaida sana, nikajisemea kumbe kuna watu upokea taarifa nzuri kama za kulamba asali alafu kwao ikawa kawaida.