Stelingi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 703
- 1,928
dah hongera na pole sana.DUCE tu Mimi nimeanzia chuo Cha mwalimu nyerere kigamboni mzee,kila usahili nikiitwa nilienda,utumishi wamenikanda kinoma saili 12 alafu oral nikaingia Mara 3,moja ya MDAs ndo imenipa kazi mwaka huu