HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sawa ni kweli nakubali nimepitiliza kutokana na changamoto nazozipata.
Kulalamika huku sio kwamba natafuta attention au huruma lengo ni kupaza sauti, unafikir kama wote wangecomment hapa na kulalamika nadhani ujumbe ungefika.
Huu uzi unafwatiliwa na watu zaidi ya 2M
Na hii ni kwa wote ata kwa wadogo zetu watakaokuja wasikutane na changamoto kama iz, naunga mkono hoja sote tupaze saut tuwe kitu kimoja.
 
Wakuu sikuacha kazi na singeweza kujirisk hvy maana maisha yang ni magumu na kibarua chenyewe ni biashara ya mtu nilikua nafanya na niliomba ruhusa ya siku chache lakin oral ilisogezwa mbele hvy ilinibid kubaki Dodoma sikuwa na uwezo wa kifedha na between hapo nasubiria oral tuliitwa interview nyingine written but kwa hii sikufanya vizur maana boss alikua ananisumbua mno na akasema nisirud job nilipata depression kubwa ukizingatia fedha ndgo niliyoitunza iliishia kwenye usahili

Ah pole sana Mkuu nilijua uliandika barua ya kuresign..

Anyway; let’s not give mpaka mwisho.
 
Tunaposema theoretically ok, maana yake tunakubali huo utaratibu wa umri kutumika maana ni suala la kikanuni. Inapokuja kiuhalisia, probability ya mtu kulamba asali kwa kuwa tu amemzidi mwenzake umri ni ndogo mno kiasi cha kuwa kama hamna kabisa!! In practice si rahisi kwenye oral interview watu wawili wafanane kila kitu kisha watofautishwe na umri tu!!
 
Yaap, piga ua oral hamuwezi kufanana Kila kitu, panelists watatafuta tu weakness ya mmoja na itapatikana na hautakataa hata wewe mwenyewe.
Ukiambiwa MWENZAKO alikua SMART kukuzidi wewe? Utabisha?
Confidence yako ya MCHONGO?
 
Performance ya usaili wa oral PSRS inakua quantified in numbers (marks). Chochote kinachokua assessed kinapewa marks (hii inajumuisha aspects zote za personality pamoja na majibu ya maswali "ya kazi husika").

Kwa sababu hivyo ndivyo inavyofanyika, basi ni wazi kwamba uwezekano wa watu wawili kulingana marks UPO.

Kwa kulijua hilo, ndio maana PSRS wakaweka kanuni za nini kitafanyika endapo yatatokea hayo. (Tie breakers)

Hiyo ya kwako unayoisema sijui wanaangalia SMARTNESS sijui CONFIDENCE, kwanza sijui umeitoa wapi.

Pili kama ni kweli wanaangalia hayo, then inaondoa dhana nzima ya ku quantify usaili kwa kutumia marks maana inawezekana kabisa mwenye confidence zaidi akapata (total marks) 67 na mwenye confidence kiasi akapata 75. Then unapendekeza kwamba hapa atachukuliwa "mwenye confidence" ?
 
Back
Top Bottom