HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yani wewe kama mimi tuu nione jina kwa pdf kwanza nikiona jina iyo furaha yake siipatii picha
alafu nipande gari sasa kuelekea dom, aki nitajikuta na smile tuu kwenye gari hadi na fika dom.
Mkuu utatoboa psrs wako fair sana ni kumuomba Mungu tu na jitihada.

Siku mtu unaenda kuchukua barua yako ya kazi ile feeling siwezi kuielezea unajisemeza moyoni kweli ni mimi huyu?😅
Na huku ukijiuliza yale mambo ya kuedit barua za kuombea ajira ndio basi tena?😅
Vuta picha ukiwa unatoka nyumbani asubuhi na kuelekea kazini.

Yaani siku ukipata kazi serikalini hata watu waseme kuwa kuna connection huwa unaona ni maneno ya vijiweni tu hayana ukweli wowote na ni kweli kule connection mbinde sana.

Siku zote huwa na msemo wangu kuwa mtu aliepata kazi kwa connection huwa hayajui machungu ya mojobless wanavyo suffer kupambania kombe kwenye usaili wa mamia ya watu au maelfu kuwania nafasi chache hatimae kuibuka kidedea.

Naamini wote humu tutalamba asali ni swala la mda tu.
 
Hakika tutalamba asali kwa idhin yake Allah
 
Rafu nchi hii haziwezi kuisha asilimia 100,ni kuomba mungu tu mkuu
 
kwa huu mchakamchaka wa psrs sio mchezo ayseee
Utumishi pagumu bro,unakopa nauli unasfri kwa mashaka usiku unalala stand unapigwa baridi kali usku unapiga saili 3 unakomaa unafika oral unasbria placement miezi 4 unakandwa unasbria database mwaka mzima hola,unarudi tena kupambana unafika oral bado holaa...aloo Allah atupe uvumilivu
 
Kuna mdada alipataga jina lake kwa placement nikampa hongera nikamuambia sipati picha ulivofurahi,

Akajibu

nimefurah kawaida sana, nikajisemea kumbe kuna watu upokea taarifa nzuri kama za kulamba asali alafu kwao ikawa kawaida.
Inawezekana haikuwa asali aliyoitegemea, kaomba TRA kapelekwa halmashauri ya Kakonko
 
Malegend tunaelewa kuwa si mchezo tokea enzi za DUCE,,, kama kwangu iliwezekana basi hata kwako inawezekana Pia.
DUCE tu Mimi nimeanzia chuo Cha mwalimu nyerere kigamboni mzee,kila usahili nikiitwa nilienda,utumishi wamenikanda kinoma saili 12 alafu oral nikaingia Mara 3,moja ya MDAs ndo imenipa kazi mwaka huu
 
Back
Top Bottom