HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Asante lakin mm kulalamika huku sio kwamba nataka attention au wanitafute hapana. Mm natamani kuona mchakato unakua mzuri na kwa afya ya wasakatonge tunaepukana na msongo wa mawazo hata kama tukikosa nafasi. Kipindi tunafanya usahili cha katibu aliyepita Xavier Daud yani hatukuwahi sumbuka hivi wala kupoteza mda mrefu japokua sikufaulu lakin niliridhishwa na mchakato wao nikiamini zikija post nyingine nitajaribu tena, na kweli zikatangazwa nying lakin sasa mchakato wa sasa una maumivu sana hata ukipata umeumia mno, tofauti na kipindi cha Xavier Daud
Mzee acha kulia lia PSRS ni ile ile kipindi sijui cha Xavier sijui cha Kitenge hakuna kilichobadilika.
Kipindi hicho unachosema ni afadhali ni kwasababu haukuwahi kufika oral ili usubirie placement ndio mana unasema mambo yalienda fasta kwasababu yalikuwa hayakuhusu.

Upo unasubiria placement kwahiyo kwasasa tafuta pakujishikiza iyo depression uliyonayo inaweza kukuathiri zaidi, potezea fanya kama hakijatokea kitu ili maisha mengine yaendelee bila kusahau kumuomba sana mungu kwa placements zijazo uwepo.
 
Tuvute subra binafsi nawaamini PSRS kwa asiliamia 95%

yote sababu classmate wenzangu ambao baadhi yao tulikua tunafukuzia pamoja ajira pale CIVE NA VENUE ZINGINE HAPO DOMU tayari wamelamba asali kwa nyakati tofauti,wengine notifications za kuwaona kwenye pdf niliwapa mimi
[emoji120]....ila wafute miongozo yao yakupigia watu simu kuripoti kazini ... kuwepo usawa kupitia kwenye website yao kupdate majina hayo....
 
Mzee acha kulia lia PSRS ni ile ile kipindi sijui cha Xavier sijui cha Kitenge hakuna kilichobadilika.
Kipindi hicho unachosema ni afadhali ni kwasababu haukuwahi kufika oral ili usubirie placement ndio mana unasema mambo yalienda fasta kwasababu yalikuwa hayakuhusu.

Upo unasubiria placement kwahiyo kwasasa tafuta pakujishikiza iyo depression uliyonayo inaweza kukuathiri zaidi, potezea fanya kama hakijatokea kitu ili maisha mengine yaendelee bila kusahau kumuomba sana mungu kwa placements zijazo uwepo.
Hivi hicho kipindi cha Xavier ndio kipi? Alikuwepo kipindi cha Magu au? Maana mimi kwa kipindi kirefu sikujihusisha na psrs

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Wakati tukiwa tunaumiza mioyo na kuomba usiku na mchana Kuna jobless mmoja kwa group amechelewa kuliona jina umepita mwezi mmoja hataki kureport hailmashauli

Dah maisha sio sawa kwa wote????View attachment 2697153
Watu ambao hawana shida na kazi kama hawa wanaenda kujaza nafasi za watu wengine wenye uhitaji si waache tu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Wakati tukiwa tunaumiza mioyo na kuomba usiku na mchana Kuna jobless mmoja kwa group amechelewa kuliona jina umepita mwezi mmoja hataki kureport hailmashauli

Dah maisha sio sawa kwa wote????View attachment 2697153
Huyo sio jobless, ni watu wenye connection zao hao. Pia sio vyema kuexpose namba za watu public kama hivyo mkuu
 
Mzee acha kulia lia PSRS ni ile ile kipindi sijui cha Xavier sijui cha Kitenge hakuna kilichobadilika.
Kipindi hicho unachosema ni afadhali ni kwasababu haukuwahi kufika oral ili usubirie placement ndio mana unasema mambo yalienda fasta kwasababu yalikuwa hayakuhusu.

Upo unasubiria placement kwahiyo kwasasa tafuta pakujishikiza iyo depression uliyonayo inaweza kukuathiri zaidi, potezea fanya kama hakijatokea kitu ili maisha mengine yaendelee bila kusahau kumuomba sana mungu kwa placements zijazo uwepo.
Sasa nikwambie kipindi cha Xavier Daud mshkaji alipata nafasi interview Moja tuliyofanya. Wala hawakupitia longolongo kama sasa na kipindi hicho alinishauri nifatilie kazi za psrs hazina connection bas nikawa nafatilia kwenye website na nilikua naona placement zinavyotolewa hata interval ya kutoka usahili wa oral had placement haikuwa ndefu hv nakumbuka sijaona mchakato wa kazi iliyovuka miezi 6
 
Sio kumnanga mkuu wote ni jobless, kukata tamaa kupo ila huyo kapitiliza. Anakwambia anataka afute akaunti ya ajiraportal labda anaweza kupata amani ya moyo. Unazani yupo sawa, atulize ndonga ajipange upya.
Sawa ni kweli nakubali nimepitiliza kutokana na changamoto nazozipata.
Kulalamika huku sio kwamba natafuta attention au huruma lengo ni kupaza sauti, unafikir kama wote wangecomment hapa na kulalamika nadhani ujumbe ungefika.
Huu uzi unafwatiliwa na watu zaidi ya 2M
 
Back
Top Bottom