HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Am here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.

Emeeeh

Hongera sana mkuu,

Furahia taarifa hii njema ukiwa na ndugu na jamaa wa karibu. Pia kumbuka kutoa Shukurani kwa mafanikio hayo uliopata.
 
Hongera sana mkuu,

Nakutakia mafanikio katika kazi yako hiyo mpya, pia kumbuka kutoa Shukurani kwa mafanikio hayo.

Mwisho, furahia mafanikio hayo pamoja na ndugu na jamaa zako kwan haikuwa rahisi.
Shukrani kaka
 
Hivi ni kwa nini huwa wanatoa majina nusu nusu kwa nini isingekuwa wakitoa placement za mwezi husika wanatoa majina ya wote waliofanya huo mwezi ili pdf ijayo waliofanya mwezi unaofuata wajiandae kusubiri huku wakijua kwamba
Watu wa Mungu tumtake Bwana na Nguvu zake,tumuombe Yesu....
Ulimwengu huu wa nyama unatudanganya sana hizo post watu washazipata kwenye ulimwengu wa Roho.
Tazama Mhubiri anasema Yote ni ubatili mtupu.......
Tuombe Neema ya Mungu, Toba na Rehema ya Yesu tuzione mbingu. Hayo mengine ni ya kupita tazama ya faa nini tangu sasa ukaishi kwa mali na utajiri mkubwa, hatimaye ukamezwa kuzimu.
Bwana ututazame Taifa lako, Okoa watu wako ,utupe neema yako tujaze Roho wako tukupendeze wewe Mungu.
Jamani Yesu, Yesu,Yesu,Yuseu... hilo jina nibalaa,Lina nguvu sana Limepewa mamlaka yote,mbinguni, Duniani na kuzimu.Yaani wewe hata ukibisha ila Huyu Yesu tumemsahau ndio maana tuna hangaika leo, Hilo Jina Yesu ni MOTOOOOO ULAO..., nibalaaa tushituke vijana tumtake bwana na nguvu zake haya mengine ni hamna kitu kabisa,tuogope Yule anae weza angamiza Mwili na Roho..Yesu ni Mungu.

wa mwezi wa
 
Mzee vipi mbona unageuza uzi kanisa
 
Back
Top Bottom