Kalikenye_91
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 227
- 607
Guys kama Kuna ambaye amewahifanya sahili ya data analyst au database administrator naomba msaada wake wa kupata abcd.
Asante
Asante
itakuwa kajisahauMzee vipi mbona unageuza uzi kanisa
Mimi pia leo nimepata kuchomoka kwenye pdf la utumishi Mungu amekuwa mwema sana baada ya miaka 7 ya kuhangaika na vibarua vya hapa na pale. Tusife moyo kwa ambao bado hatujapata tuendelee kusubiri kwa imani
Hongera sana na Kila la kheri kwenye majukumu mapyaAm here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.
Emeeeh
Hongera sana mkuu, kila la kheri na ukawe mtumishi mwemaNamimi leo nimeangukiwa hatimaye the pursuit of happiness at last.
Hongera sana mkuu, kila la kheri na ukawe mtumishi mwemaMimi pia leo nimepata kuchomoka kwenye pdf la utumishi Mungu amekuwa mwema sana baada ya miaka 7 ya kuhangaika na vibarua vya hapa na pale. Tusife moyo kwa ambao bado hatujapata tuendelee kusubiri kwa imani
bado champMkuu sawadogo bado hujafikiwaa?
mimi ni christian , ila mkuu stand katika maudhui ya uzi na sio udini hii inaweza tugawanya watafutajiWatu wa Mungu tumtake Bwana na Nguvu zake,tumuombe Yesu....
Ulimwengu huu wa nyama unatudanganya sana hizo post watu washazipata kwenye ulimwengu wa Roho.
Tazama Mhubiri anasema Yote ni ubatili mtupu.......
Tuombe Neema ya Mungu, Toba na Rehema ya Yesu tuzione mbingu. Hayo mengine ni ya kupita tazama ya faa nini tangu sasa ukaishi kwa mali na utajiri mkubwa, hatimaye ukamezwa kuzimu.
Bwana ututazame Taifa lako, Okoa watu wako ,utupe neema yako tujaze Roho wako tukupendeze wewe Mungu.
Jamani Yesu, Yesu,Yesu,Yuseu... hilo jina nibalaa,Lina nguvu sana Limepewa mamlaka yote,mbinguni, Duniani na kuzimu.Yaani wewe hata ukibisha ila Huyu Yesu tumemsahau ndio maana tuna hangaika leo, Hilo Jina Yesu ni MOTOOOOO ULAO..., nibalaaa tushituke vijana tumtake bwana na nguvu zake haya mengine ni hamna kitu kabisa,tuogope Yule anae weza angamiza Mwili na Roho..Yesu ni Mungu.
direct or database mkuu?Mimi pia leo nimepata kuchomoka kwenye pdf la utumishi Mungu amekuwa mwema sana baada ya miaka 7 ya kuhangaika na vibarua vya hapa na pale. Tusife moyo kwa ambao bado hatujapata tuendelee kusubiri kwa imani
Hongera sana mkuu, Kila la kheri katika utumishi wakoMimi pia leo nimepata kuchomoka kwenye pdf la utumishi Mungu amekuwa mwema sana baada ya miaka 7 ya kuhangaika na vibarua vya hapa na pale. Tusife moyo kwa ambao bado hatujapata tuendelee kusubiri kwa imani
AsanteHongera sana
AsanteHongera sana mkuu, kila la kheri na ukawe mtumishi mwema
Direct nilifanya interview mwezi wa pilidirect or database mkuu?
AsanteHongera sana mkuu, Kila la kheri katika utumishi wako
Hongera sana mwamba,nenda ukawe mtumishi mwema.Mimi pia leo nimepata kuchomoka kwenye pdf la utumishi Mngu amekuwa mwema sana baada ya miaka 7 ya kuhangaika na vibarua vya hapa na pale. Tusife moyo kwa ambao bado hatujapata tuendelee kusubiri kwa imani
Wakandaji wapya wasisahau #MATOKEOYAORALNIHAKIYETUHongereni wote mlioramba asali, mkawe watumishi wema.
Lakani wakandaji wapya mliopata shavu PSRS mkawe chachu kwenye vikao vyenu kuhusu agenda ya uzi huu msitusahau na msiwasahau wataokuja baadae.