mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,141
Watu wengine ni wa kuwasamehe bure tu!! Amejiunga na jamii forum juzi juzi hana hata wiki moja!!Duh yamekua hayo tena
Watu wengine ni wa kuwasamehe bure tu!! Amejiunga na jamii forum juzi juzi hana hata wiki moja!!Duh yamekua hayo tena
Sio nimejiunga juzi nipo mda mrefu since 2015 sema nimefungua account mpya baada ya kubadili cm.Watu wengine ni wa kuwasamehe bure tu!! Amejiunga na jamii forum juzi juzi hana hata wiki moja!!
Amen!Jobless kuweni na moyo mkuu. Jumatatu Kabla Jimbi hajawika mtakuwa kwenye kitabu Cha Permanent and Pensionable
🙏 Amen mkuu na ikawe ivyoJobless kuweni na moyo mkuu. Jumatatu Kabla Jimbi hajawika mtakuwa kwenye kitabu Cha Permanent and Pensionable
Mzee 72% umeweka vyeti vingapi.. au chekechea na darasa la 7😁 sidhani kama mtu unaweza kuweka vyeti Hadi diploma au degree ukapaa hiyo percent.. kwanza nasikia waita kuanzia 75%Nina 72% na naitwa kama kawa japokuwa siku yangu ya kulamba asali bado haijafika
We vp ndio sababu ya msing maana sikumbuki password na email nayotumia tofaut hivyo mind your business huwezi kupotosha uzi alafu tukuchekee. Unatafuta huruma kwa kulia Lia kwendraaIt takes a strong person to forgive!! Granting forgiveness is not weakness but strength!! Kuna watu walifundishwa matusi walipokuwa wanatukanwa na wazazi wao! Watu kama hao ni wa kuwahurumia tu na kuwasamehe bure!! Mtu anayeamini kuwa kubadili simu ni sababu itakayowafanya watu waamini kuwa ndiyo iliyosababisha abadili akaunti!! Can you imagine such reasoning from the so called "mature" person!!
Kweli kabsaaWakuu polen sana na michakariko!
Amani na upendo vitawale...tujibizane kwa staha.....lengo na madhumuni ya uzi vizingatiwe.
Nina cha form four na birth certificate onlyMzee 72% umeweka vyeti vingapi.. au chekechea na darasa la 7[emoji16] sidhani kama mtu unaweza kuweka vyeti Hadi diploma au degree ukapaa hiyo percent.. kwanza nasikia waita kuanzia 75%
Hapa nakubali,, kwahyo unaombaga taaluma gani Mzee unazoitwaga Kila kukicha mwenzetu...Nina cha form four na birth certificate only
Hakuna rangi tutaacha kuona,,katika maisha haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaongeza tu matangazo ya nafasi za kazi bila kutoa placement daah[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo TGS ni za serikali kuu na Tamisemi.WAKUU NITOENI USHAMBA..HIVI HIZI KAZI AMBAZO HAZITAJI TAASISI UNAYOENDA HUWA ZIKO VIPI?MFANO HAPO MHANDISI MAGARI LAKN HAWAJASEMA NI TAASISI GANI..
NA TGS E NI KIASI GANI?
NATANGULIZA SHUKRANI.View attachment 2685319
TGTS E1 basic ni 1000000/= wakitoa kodi, bima ya afya n.k utapata take omu kama laki 7+ kama una deni la Loanboard kwenye hiyo 7 toa kama 141000Hizo TGS ni za serikali kuu na Tamisemi.
Okay, Nimeshangaa kuona watehama nao wanaanza na TGS E1. Nilifikiri bado wako TGS D1TGTS E1 basic ni 1000000/= wakitoa kodi, bima ya afya n.k utapata take omu kama laki 7+ kama una deni la Loanboard kwenye hiyo 7 toa kama 141000
DuhTGTS E1 basic ni 1000000/= wakitoa kodi, bima ya afya n.k utapata take omu kama laki 7+ kama una deni la Loanboard kwenye hiyo 7 toa kama 141000