HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna Dogo nasikia CIVE jana WAMEMKANDA, baada ya kumaliza pepa wapo kwenye harakati za kuruhusiwa kutoka, akawa anapiga PICHA ndani wakati wamekaa wanasubiria maelekezo ya mwisho,
Kuna MKANDAJI wa KIKE akawa anamuona , SO AS WE SPEAK ,amekua DISQUALIFIED.
Duu alikua hajakusanya paper lenyewe? Huyo amekandwa kabla ya matokeo yenyewe.
 
Dogo mapepe, wameingia tu ndani wakaambiwa simu zenu mzizime, mtaziwasha mara TU baada ya kutoka Mlangoni, humu ndani hatutaki mtu afanye matumizi ya simu, wamekusanya mitihani, yeye baada tu ya kuchukua BEGI, kafungua kaanza kupiga PICHA ukumbi mzima, akiwa ndani hawajaruhusiwa KUSIMAMA wala KUTOKA..Yeye yupo BIZE na Uchukuaji KUMBUKUMBU.
 
Acha wamkande siku nyingine ataacha show off za kishamba
 
Dogo mapepe, wameingia tu ndani wakaambiwa simu zenu mzizime, mtaziwasha mara TU baada ya kutoka Mlangoni, humu ndani hatutaki mtu afanye matumizi ya simu, wamekusanya mitihani, yeye baada tu ya kuchukua BEGI, kafungua kaanza kupiga PICHA ukumbi mzima, akiwa ndani hawajaruhusiwa KUSIMAMA wala KUTOKA..Yeye yupo BIZE na Uchukuaji KUMBUKUMBU.
Yani huyo alitaka kwenda kuuzisha sura ma jobless.
 
Back
Top Bottom