Waingie kwenye foleni ya kukaa miezi ili kusubiri placement😂😂😂😂Poleni Kwa Usaili wale Community dvt,Naimani mlipata muda mwingi wa kujiandaa.Mungu awaongoze mpite kwenda Hatau ya pili na mwishoe mpangiwe vituo vya Kazi...
Waseme WANAFICHA nini? Shida ipo wapi? Mtu akijua kafaulu itamsaidia sana kuacha kuongeza RECEIVED...Ni haki ya msailiwa kupata matokeo yake ili ajifanyie self assessment na pia itapunguza pressure za wasailiwa kusubiri placements
Tena itasaidia KUPUNGUZA mlundikano wa watu kuomba, unakuta mtu ameomba nafasi Ile Ile ambayo aliingia oral, tangazo jingine linatoka katika nafasi Ile Ile anaomba tena, hajakaa sawa anaomba nyingine...huu si UNGWANA...Au watoe sababu kwanini hawatoi matokeo kwa hatua hii ya oral, wanahofia kitu gani kwani?
Yani kama vile kuna kausiri kapo hapo, sioni sababu kubwa ya msingi kumnyima mtu matokeo yakeWaseme WANAFICHA nini? Shida ipo wapi? Mtu akijua kafaulu itamsaidia sana kuacha kuongeza RECEIVED...
SHIDA ipo kwenye MATOKEO, unajua mtu ukiwa una HELA njaa haiumi sana, Mtu akijua kafaulu hata ukimwambia kazi ataanza JANUARY atakua na amani na kuendelea na MISHE ZAKE.Nadhani huu uzi ujikite kuhusu kwanini matokeo ya usaili wa oral hayawekwi wazi bila shaka tutapata majibu pia kwanini wanachelewa kutoa placements
Huu ni uonevu tu kwanini watoe nafasi hizo hizo ambazo watu wamefika oral mara nyingi tu, na kama walifeli oral hayo matokeo kwanini hawaweki wazi?Tena itasaidia KUPUNGUZA mlundikano wa watu kuomba, unakuta mtu ameomba nafasi Ile Ile ambayo aliingia oral, tangazo jingine linatoka katika nafasi Ile Ile anaomba tena, hajakaa sawa anaomba nyingine...huu si UNGWANA...
Kabisa yani matokeo yakiwekwa wazi kusubiri pdf sio shidaSHIDA ipo kwenye MATOKEO, unajua mtu ukiwa una HELA njaa haiumi sana, Mtu akijua kafaulu hata ukimwambia kazi ataanza JANUARY atakua na amani na kuendelea na MISHE ZAKE.
Hamtaki wawafanyie surprise jamani😂😂😂Kabisa yani matokeo yakiwekwa wazi kusubiri pdf sio shida
😀😀😀 Hii hapana kabisaHamtaki wawafanyie surprise jamani😂😂😂
Imfikie waziri mwenye dhamana#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Kufika hapa tushapokea matokeo mengi tu hakuna jipya #MATOKEOYAORALNIHAKIYETUHamtaki wawafanyie surprise jamani😂😂😂
Maana naona kila dogo ninayemcheki HAPATIKANI...ila MUNGU atawabariki mtaingia ORAL wana, huku tukiendeleza KAULI MBIU YA... #MATOKEOYAORALHAKIYETUWana wa CD vipi? Mmeshaambiwa 20 minutes left?
Kwan wamefanya jioni hii?? Na vp....oral wanapiga baada ya sku ngap??Maana naona kila dogo ninayemcheki HAPATIKANI...ila MUNGU atawabariki mtaingia ORAL wana, huku tukiendeleza KAULI MBIU YA... #MATOKEOYAORALHAKIYETU
Means majibu yanatoka leo leo eeee?Kesho oral wapambane I wish na kada yetu tungechukuliwa wengi ivo.