den texas
Senior Member
- Dec 25, 2019
- 197
- 654
nadhan week hii majina yatatokaTRA JOB APPLICATIONS:
Job opening date : 27-May-2023
Job closing date : 09-Jun-2023
Today it is: 09-July-2023
Date for interview: ???????
Date for placement: ?????
nadhan week hii majina yatatokaTRA JOB APPLICATIONS:
Job opening date : 27-May-2023
Job closing date : 09-Jun-2023
Today it is: 09-July-2023
Date for interview: ???????
Date for placement: ?????
Na wenyewe wameingia katika "NADHANI, HUENDA, LABDA, INAWEZEKANA, INAONEKANA, ITAKUA, PENGINE, TUSUBIRIE, INGAWA, JAPOKUA, INASEMEKANA"nadhan week hii majina yatatoka
Kwanza mimi ningekua COMMISSIONER namtaka aliyependekeza KALE kamfumo UCHWARA ka kuombea kazi, nna MASWALI Mengi KABLA sijamfukuza KAZI kuhusu KAMFUMO UCHWARA, maana mule niliona mambo ya MISHAHARA, MARA DOLLAR, mara sijui MA NCHI KIBAO yanatokea...wakati SWALA ni la TANZANIA, unaona unaletewa hadi VENEZUELA, hii nchi kuna watu WAVIVU sana..TRA JOB APPLICATIONS:
Job opening date : 27-May-2023
Job closing date : 09-Jun-2023
Today it is: 09-July-2023
Date for interview: ???????
Date for placement: ?????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza mimi ningekua COMMISSIONER namtaka aliyependekeza KALE kamfumo UCHWARA ka kuombea kazi, nna MASWALI Mengi KABLA sijamfukuza KAZI kuhusu KAMFUMO UCHWARA, maana mule niliona mambo ya MISHAHARA, MARA DOLLAR, mara sijui MA NCHI KIBAO yanatokea...wakati SWALA ni la TANZANIA, unaona unaletewa hadi VENEZUELA, hii nchi kuna watu WAVIVU sana..
Ule mfumo ni copy n paste mkuu sidhni kama umetengenzwa na wao TRAKwanza mimi ningekua COMMISSIONER namtaka aliyependekeza KALE kamfumo UCHWARA ka kuombea kazi, nna MASWALI Mengi KABLA sijamfukuza KAZI kuhusu KAMFUMO UCHWARA, maana mule niliona mambo ya MISHAHARA, MARA DOLLAR, mara sijui MA NCHI KIBAO yanatokea...wakati SWALA ni la TANZANIA, unaona unaletewa hadi VENEZUELA, hii nchi kuna watu WAVIVU sana..
Tulishasema baadhi ya wadau humu ndani huko nyuma kwamba hakuna sababu ya msingi ya kutokutoa matokeo ya oral..Yani kama vile kuna kausiri kapo hapo, sioni sababu kubwa ya msingi kumnyima mtu matokeo yake
Kbsa mkuu hili suala limekaa kisiasa sana hakuna hoja za msingi kutokua na matokeo ya oral..kuna kitu kimejificha hapoTulishasema baadhi ya wadau humu ndani huko nyuma kwamba hakuna sababu ya msingi ya kutokutoa matokeo ya oral..
Nashukuru wengne nao mnaendelea kuliongelea. Tukiwa wengi litawafikia na watalifikiria,n km limekaa kisiasa hivi.
Mtu akishajua matokeo yake ya oral kelele za kwanini placements zinachelewa zitapungua mno km sio kuisha.
Ni vizuri kujifunza kufuata maelekezo tunayopewa na wakubwa zetu wakati wote. Ukianza kuonyesha ukaidi mapema hivyo hata bado haujaajiriwa haileti picha nzuri!!Kuna Dogo nasikia CIVE jana WAMEMKANDA, baada ya kumaliza pepa wapo kwenye harakati za kuruhusiwa kutoka, akawa anapiga PICHA ndani wakati wamekaa wanasubiria maelekezo ya mwisho,
Kuna MKANDAJI wa KIKE akawa anamuona , SO AS WE SPEAK ,amekua DISQUALIFIED.
nishalala nane nane siku tatu mfululizo kwenye ule usahili wa MDAs na LGAs siku ya tatu usiku kuna SUMA akanifuata usiku mida ya sisita nikiwa nasoma akaniambia mbona kila siku ananiona nikamweleza hali halisi akanielewa. Baada ya kulamba asali nimesahau shida zote.Usaili wangu wa mwisho pale Dom nilienda kibishi sana kwa kudandia malori na nilikuwa na hii ratba ya kulala pale nanenane dah wale suma wakuda sna wakanikwida na kunitoa nje maana sikuwa na ticket yan huu ujobless ni shida sana
Amenza kujiwekea rekodi mbaya mapema hivyo!!!Dogo mapepe, wameingia tu ndani wakaambiwa simu zenu mzizime, mtaziwasha mara TU baada ya kutoka Mlangoni, humu ndani hatutaki mtu afanye matumizi ya simu, wamekusanya mitihani, yeye baada tu ya kuchukua BEGI, kafungua kaanza kupiga PICHA ukumbi mzima, akiwa ndani hawajaruhusiwa KUSIMAMA wala KUTOKA..Yeye yupo BIZE na Uchukuaji KUMBUKUMBU.
Tukiwaambia mnatuona maboga somakamfumo UCHWARA
Pole aisee, maisha ni safari ndefu sana.Usaili wangu wa mwisho pale Dom nilienda kibishi sana kwa kudandia malori na nilikuwa na hii ratba ya kulala pale nanenane dah wale suma wakuda sna wakanikwida na kunitoa nje maana sikuwa na ticket yan huu ujobless ni shida sana
watakuwa wanasikilizia madogo udom wafungu chuo kwanza ndo mambo mengne yaendeleeNa wenyewe wameingia katika "NADHANI, HUENDA, LABDA, INAWEZEKANA, INAONEKANA, ITAKUA, PENGINE, TUSUBIRIE, INGAWA, JAPOKUA, INASEMEKANA"
Muone wakala wa psrs jinsi huoni aibu. Sasa si afadhali tra kuliko utumishi last year tuliaply March interview December placement February karibu mwaka mzima mchakato 😂😂😂😂😂TRA JOB APPLICATIONS:
Job opening date : 27-May-2023
Job closing date : 09-Jun-2023
Today it is: 09-July-2023
Date for interview: ???????
Date for placement: ?????
Kumbe wamebobea KUBORONGA...daaah....(NEPOTISM hiyo MASTA) Kuna majanja kibao wapo STREET wakali sana wa hizi KAZI...hawapewi.Tukiwaambia mnatuona maboga soma
![]()
Ni kweli kwamba hatuna Software Developers, Web Developers, UX/UI Designers hadi tunatengeneza vituko?
Yaan nimeduwaa sijaelewa una maanisha nini, sawa wewe umeijenga website kwa ajili ya desktop sawa sijakataa nakubariana na wewe lakini je huo muonekano wake UI umeangalia kwenye simu zetu hizi za smartphone inaonekanaje in accordance to UX umeuliza users wako kadhaa wanaonaje au ipo ipoje...www.jamiiforums.com
Kuna mfumo mwingine wameusuka haueleweki mpaka wameongezewa siku najiuliza wanawapa watu wanaojua kazi au watu wanaowafahamu (nepotism) ?
Tra na udom wapi na wapiwatakuwa wanasikilizia madogo udom wafungu chuo kwanza ndo mambo mengne yaendelee
Inabidi umkumbuke na yule Suma kwa kutokuzinguanishalala nane nane siku tatu mfululizo kwenye ule usahili wa MDAs na LGAs siku ya tatu usiku kuna SUMA akanifuata usiku mida ya sisita nikiwa nasoma akaniambia mbona kila siku ananiona nikamweleza hali halisi akanielewa. Baada ya kulamba asali nimesahau shida zote.
usailiTra na udom wapi na wapi
Inawezekana au kwasababu hua wanawatumia walim wa vyuo wanawasubiri wasaishe ue kwanza. Tujipe moyo aisee maana duuhusaili