Huku sina uhakika kama wanaona labda kwenye website yao pangekuwa na sehem ya kuweka comments.Hii inabidi tuipushi sana vinginevyo tutaendelea kulaumu kwanini wanachelewa kutoa placements
#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Huku sina uhakika kama wanaona labda kwenye website yao pangekuwa na sehem ya kuweka comments.Hii inabidi tuipushi sana vinginevyo tutaendelea kulaumu kwanini wanachelewa kutoa placements
#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Daa tunashukuru mkuu, ni mimi nilikua mmoja ya waliokua kwa paper jana sidhani wale jamaa hizo dk 40 kama huwa zinatimia kweli. Jamaa wanatuibia muda wale.Poleni wana CDO's Jana mchawi kama Kawa muda, mara nyingi sana maswali ya ufahamu mchawi anakua muda, maana unajikuta unataka uongeze nyama nyingi kwenye swali moja, ndo ujue linakulia muda hivyo...ila kila la KHERI KWENU...Mungu atawabariki Wana,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unasikia wanasema bado dakika 15,upo swali la kwanzaDaa tunashukuru mkuu, ni mimi nilikua mmoja ya waliokua kwa paper jana sidhani wale jamaa hizo dk 40 kama huwa zinatimia kweli. Jamaa wanatuibia muda wale.
Hapo ndipo jasho linaanza kukutoka kwenye vidole....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unasikia wanasema bado dakika 15,upo swali la kwanza
Kaka wee acha tuu aisee, pengine hiyo pia ni njia ya kutoa watu mchezoni.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unasikia wanasema bado dakika 15,upo swali la kwanza
Huku pia wapo na comment zinafika vizuri tu, ni kuendelea kupush hii ajendaHuku sina uhakika kama wanaona labda kwenye website yao pangekuwa na sehem ya kuweka comments.
KabisaHii inabidi tuipushi sana vinginevyo tutaendelea kulaumu kwanini wanachelewa kutoa placements
#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Serikali hakuna sehemu ambayo haina mtu wake, hadi humu yupo na anaona.Huku pia wapo na comment zinafika vizuri tu, ni kuendelea kupush hii ajenda
#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Serikali hakuna sehemu ambayo haina mtu wake, hadi humu yupo na anaona.Huku pia wapo na comment zinafika vizuri tu, ni kuendelea kupush hii ajenda
#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Wapo humu wengi tuSerikali hakuna sehemu ambayo haina mtu wake, hadi humu yupo na anaona.
Mia,mia#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Wameupata #MATOKEOYAORALNIHAKIYETUWapo humu wengi tu
Mnakuwa hamna saa zenu? Na wakianza wanasema hivi sas ni muda fulani pepa litaisha muda fulan ambao ni baada ya dak 40!Daa tunashukuru mkuu, ni mimi nilikua mmoja ya waliokua kwa paper jana sidhani wale jamaa hizo dk 40 kama huwa zinatimia kweli. Jamaa wanatuibia muda wale.
Una maana gani unaposema added advantage ?Wana hivi ADDED ADVANTAGE inafanya kazi KATIKA MAZINGIRA gani?
Kwa mfano..
1. Kapata 82 hana added advantage
2. Kapata 72 anayo added advantage
Nani atalamba ASALI Hapo?
Kweli mkuu ngoja tusubiri week inayoanza Kesho.Nimejaribu kufuatilia hali ya placement mwaka jana mwezi wa 6 kuingia wa 7 (mabadiliko ya mwaka wa pesa)nikaona pia placement zilikaa muda mrefu bila kutoka...placement zilianza kutoka tarehe 12...so tuendlee kula mtori mdgo mdgo
Hawaruhusu kuingia na saa mle mkuu.Mnakuwa hamna saa zenu? Na wakianza wanasema hivi sas ni muda fulani pepa litaisha muda fulan ambao ni baada ya dak 40!
Kuna Dogo nasikia CIVE jana WAMEMKANDA, baada ya kumaliza pepa wapo kwenye harakati za kuruhusiwa kutoka, akawa anapiga PICHA ndani wakati wamekaa wanasubiria maelekezo ya mwisho.Hawaruhusu kuingia na saa mle mkuu.