Tutegemee Labda Database Miezi hii ya Mwanzo wa Mwaka inaeza ikatema sana maana Taasisi nying zitaajiri.Wanatesa watu tu na database haitumiki ipasavyo Bora ifutwe.
Hapa utashangaa wanatoa kipdf cha kuzugia ili kuwapotezea watu mda.
Na wewe ni wakala wa psrs tushakujua unakuja huku kuhamisha mada na kuwatetea kwendraaaa