HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu mbingunikwetu nani kashika simu yako leo ?

Mbona umeposti tangazo la zamani au ndio umeamua kutufanyia MASAPRAIZI (Unatesti mioyo yetu)
Dah!! Samahani sana!! Sikusoma vizuri mwezi, nilipoona tarehe 6 na matangazo yote ya placement yameondolewa limebaki hilo moja NIKADHANI ni ni tarehe 6 ya mwezi wa saba!! kumbe ni tarehe 6 ya mwezi wa sita!! Unajua nina hamu kubwa sana kuona vijana wanaramba asali hata kusababisha kukosa umakini!! Sorry!
 
Nadhani tuweke matarajio yetu kuanzia mwezi wa tisa huko.
Cha maana ni kuwa na kitu cha kufanya wakati unasubiri!! Vijana kipindi hiki cha mpito msichague kazi!! chote chote kinachokupa kipato cha halali fanya!! Hii itakupa uwezo wa kuhudhuria saili zinapojitokeza.

Na unapohudhuria saili nyingi, unajiongezea wigo pia kwenye data base!! Usitegemee data base ya interview moja tu!! Wakati huo ukiwa unajiandaa na mikando ya PSRS!! Tafuta "received" as many as possible, and attend interviews as many as possible!! For sure God will reward such endless efforts. I keep praying for all of you!
 
Cha maana ni kuwa na kitu cha kufanya wakati unasubiri!! Vijana kipindi hiki cha mpito msichague kazi!! chote chote kinachokupa kipato cha halali fanya!! Hii itakupa uwezo wa kuhudhuria saili zinapojitokeza. Na unapohudhuria saili nyingi, unajiongezea wigo pia kwenye data base!! Usitegemee data base ya interview moja tu!! Wakati huo ukiwa unajiandaa na mikando ya PSRS!! Tafuta "received" as many as possible, and attend interviews as many as possible!! For sure God will reward such endless efforts. I keep praying for all of you!!​
Wanatesa watu tu na database haitumiki ipasavyo Bora ifutwe.
Hapa utashangaa wanatoa kipdf cha kuzugia ili kuwapotezea watu mda.

Na wewe ni wakala wa psrs tushakujua unakuja huku kuhamisha mada na kuwatetea kwendraaaa
 
Back
Top Bottom