HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
"Re-Advertised"
Re-advertised maana yake ni kuwa nafasi inatangazwa tena baada ya kuwa ikishatangazwa awali. Inawezekana kabisa nafasi ikatangazwa na usaili usifanyike aidha kwa sababu hawakupatikana waombaji wenye sifa zinazotakiwa au waombaji waliojitokeza ni wachache sana kulingana na nafasi zilizopo, hivyo kuwa na uwezekano mkubwa wa usaili kutokufanyika. Ndiyo maana nikauliza je usaili nulifanyika? Kama usaili ulifanyika basi wasailiwa hawakufaulu hivyo nafasi zikabaki wazi!
 
Wengine sio new members humu, uzi bado tunaendelea kuufuatilia naamini huu uzi utaendelea kuishi miaka mingi ijayo.

Tatizo la ajira ndio changamoto kubwa kwetu so uzi utaendelea tu!

Hata kama tukiwa kimya sisi kuna watu watakaokuja kushikilia kijiti hiki, watakuja wengine na wengine pia.

Ukianguka mpidiefu wa placement wa maana alaf member wengi humu wakalamba asali either direct placement or database utarudisha matumaini ya wadau wengi humu.

Kimya hiki kina mshindo tusife moyo ndugu zanguni.

Psrs fanyeni mambo wiki hii hii inayoanza kesho watu waruke kidedea kwa kulamba asali.

N.B. Database ipo na inafanya kazi, kikubwa subra tu.🙏
 
Kwan nini ina-uploadiwa??
Si photocopy ilopigwa muhuri?
Ni kweli, una-upload photocopy iliyopigwa muhuri. Ila kuna watu hufanya makosa, photocopy iliyopigwa muhuri wanai-photocopy tena. Halafu hiyo photocopy inayotokea ndiyo wana-upload!! kwa hiyo muhuri unaonekana ni photocopy. Muhuri unapaswa uonekane original.
 
1688368267315.png

Hawa jamaa naona wanataka watu wenye umri mkubwa waendelee kulamba asali, uzoefu wa miaka 13?
 
Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma?Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi......Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma

Nimechoka sana nimepoteza nauli muda na kila kitu simu hawapokei, sms hawajibu, emails hazijibiwi, Dm hawajibu! sasa nafanyaje jamani mimi na shida yangu inatakiwa itatuliwe kwa haraka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Aisee pole san mkuu end

lea kuwapigia usikate tamaa
 
ndi

Ndivyo walivyo endelea kupiga watapokea ndugu usichoke ikiwezekana uwe na simu 2 au 3 ikikata hii unaunga( unapig) na nyingine watapokea tyuu.
 
Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma?Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi......Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma

Nimechoka sana nimepoteza nauli muda na kila kitu simu hawapokei, sms hawajibu, emails hazijibiwi, Dm hawajibu! sasa nafanyaje jamani mimi na shida yangu inatakiwa itatuliwe kwa haraka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Usichoke...endelea kupiga hadi watapokea..
 
Back
Top Bottom