HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilisema humu mapema kabisa nikaonekana mbaya,sasa hao utumishinwa mahakama tyr wameita kazini,soon zitapigwa interview za TRA na watu wataitwa kazini....afu wale wenzangu na Mimi wa MDA&LGA ambazo idadi yake haijatimia bado tuendelee kunywa mchuzi nyama tutazikuta chini!!!ajira 2000 zimekuwa ngumi kusimamiwa je hawa wakipewa zile za TAMISEMI si bajeti tatu zitapita ndio watu waitwe kazini..tukisema kuna kauzembe kanafanyika tukubaliane tu maana kuna vingine mtu mwenye maarifa na utashi ukitetea unaonekana ni mtetezi wa tumbo tu...ndio yale watu wanauliza vipengele vya mkataba wa baleke mtu anajibu baleke anacheza vizuri sana atatufaa tumsajili tu.
 
Ila umesahau kunamjadala kwenye thread humu tulihoji kwann watu wanapigiwa simu kuripoti kituo cha kazi bila update yoyote ya utumishi ya majina yao....!!!Ndo misunderstanding tunazoziona sasa wewe unajua bado hawajaisha ila umesahau kunawengine wana prove humu wanapigiwa simu kulipoti kazini...
Tuzidi kuomba Mungu

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Nilisema hapo juu watu kama nyie hamkosekani,watu tunazungumzia kuhusu mchakato unaoendeshwa na haohao utumishi,miongozo ipo wazi wewe unasema alipigiwa simu!!ni official channel ya information hiyo au ndio kufumba watu macho kupitia hicho kichaka??ndio maana nikasema watu kama nyinyi mpo,mtu nauliza vipengele vya mkataba wa simba na baleke wewe unatetea hoja kwa kusema baleke ni mzuri tangu anacheza mazembe,sasa hapo mwenye jukumu la kuwa wazi ni utumishi au ni sisi tuanze kutafuta waliopigiwa simu
 
Utumishi wanafanya haya mambo yaonekana magumu tu, kwanini taasisi zikisimamia zoezi la ajira kwenye taasisi zao hawachukui muda kutoa placement why utumishi wanajivuta sana na kama ni upungufu wa watumishi kwanini wasiongeze wafanyakazi ili kurahisisha zoezi zima la kuajiri, na kama wameshindwa kabisa kutatua hili basi taasisi zisimamie mchakato wa ajira
 
Kiukweli utumishi wanahitaji reformation kubwa sana, wanafanya kazi chini ya kiwango
 
Kama ni kweli, kwangu kote zinasoma selected for oral, App n Web. Nijiandae kushona suti [emoji41][emoji2][emoji41]
Mada ya status ndo huwa kama inaamsha group na wakati mwngine kutoa matumaini kwa baadhi.
Kikubwa ni psrs kutafuta namna ya kuwahisha mchakato kuondoa sintofahamu kama hizi za kustressisha wasaka asali
 
Niaje wadau,naomba kujua mshahara wa afisa hesabu daraja II katika wizara ya elimu,sayansi na teknologia ni kiasi gani!?
 
Nilisema humu mapema kabisa nikaonekana mbaya,sasa hao utumishinwa mahakama tyr wameita kazini,soon zitapigwa interview za TRA na watu wataitwa kazini....afu wale wenzangu na Mimi wa MDA&LGA ambazo idadi yake haijatimia bado tuendelee kunywa mchuzi nyama tutazikuta chini!!!ajira 2000 zimekuwa ngumi kusimamiwa je hawa wakipewa zile za TAMISEMI si bajeti tatu zitapita ndio watu waitwe kazini..tukisema kuna kauzembe kanafanyika tukubaliane tu maana kuna vingine mtu mwenye maarifa na utashi ukitetea unaonekana ni mtetezi wa tumbo tu...ndio yale watu wanauliza vipengele vya mkataba wa baleke mtu anajibu baleke anacheza vizuri sana atatufaa tumsajili tu.

Hata Bunge waliita watu kupitia utumishi ila usaili walisimamia wenyewe, ndani ya week 2 kuanza kaa usaili watu wakaitwa kazini. Utumishi wanashida kama man power ndogo waseme waongeze waajiri.
 
Mada ya status ndo huwa kama inaamsha group na wakati mwngine kutoa matumaini kwa baadhi.
Kikubwa ni psrs kutafuta namna ya kuwahisha mchakato kuondoa sintofahamu kama hizi za kustressisha wasaka asali
sure na itapendeza pia kule mtu ukipata kazi wawe waaandika kabsa like Hongera umepangiwa kazi au hongera umeingia katika data base, wengine waliokosa waambiwe pole,jaribu tena baadae.
 
Back
Top Bottom