HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni kweli majibu hayatoki mkuu lakini je kwanini status zibadilike after interview? hauoni uhusiano hapo?
Ila hili la status mbona kama halijawahi kuwa kiashiria halisi cha kulamba asali....
Mm nachojua itabadilika kutoka received kuwa shortlisted then kutoka shortlisted kwenda selected for/not selected for oral interview
Anaekuwa selected for oral interview anaenda kufanya oral anaskilizia PDF basi

Sasa kaka ushamaliza oral interview halaf uandkiwe not seleced for oral interview sjashuhudia mtu wa hivyo labda kama yupo aliwah fanya oral halaf baadae status ikawa not selected for oral interview atwambie
 
Zipo Not Selected for Oral baada ya Interview kweny App
 
Ila hili la status mbona kama halijawahi kuwa kiashiria halisi cha kulamba asali....
Mm nachojua itabadilika kutoka received kuwa shortlisted then kutoka shortlisted kwenda selected for/not selected for oral interview
Anaekuwa selected for oral interview anaenda kufanya oral anaskilizia PDF basi

Sasa kaka ushamaliza oral interview halaf uandkiwe not seleced for oral interview sjashuhudia mtu wa hivyo labda kama yupo aliwah fanya oral halaf baadae status ikawa not selected for oral interview atwambie
Mim kwangu baada ya kupita mchujo niliandikiwa SELECTED FOR ORAL Kwenye App baada ya kwenda pale migiro na kufanya oral yangu ,nikarudi zangu kitaaa so last week naingia kule App nakuta NOT SELECTED FOR ORAL but kwnye web yao bado ipo SELECTED FOR ORAL hvyo kufuata maelezo ya walamba asali,wenye mauzoefu ya kupga oral bila kupata kazi wanasema hapo sina changu nishakula NDOIGE ya kushoto na kuna member mmoja hapo anasemaga BABAJEN BAIBAI ni hvyoo yani kujipanga kwa next received japo baadhi ya wadau wanaema pdf ndo habari ya mjini
 
Mkuu kwa mfano umefanya interview ya oral nikimaanisha hakuna written wao huwa inakuwaje ilihali unapoitwa inasoma shortlisted? Je ukitoka kwenye hiyo oral bado itasoma shortlisted?
 
Mkuu hii iko wazi kabisa huwa zinabadilika wengi humu pia wameshuhudia
 
Mkuu kwa mfano umefanya interview ya oral nikimaanisha hakuna written wao huwa inakuwaje ilihali unapoitwa inasoma shortlisted? Je ukitoka kwenye hiyo oral bado itasoma shortlisted?
Hii sjui labda kupata uzoefu kwa walowahi fanya usaili wa hivi
 
Kuna jambo linakera sana utumishi hasa kwenye “Oral”. Unakuta umeulizwa swali umeanza lijibu kwa kutaja point ile unaanza elezea wanakukatisha wanakwambia just mention wanakera sana. Kama mtu anataka kuelezea wamwache kumkatisha mtu haiependezi kabisa.

Tatizo muda mkuu,
 
Mim kwangu baada ya kupita mchujo niliandikiwa SELECTED FOR ORAL Kwenye App baada ya kwenda pale migiro na kufanya oral yangu ,nikarudi zangu kitaaa so last week naingia kule App nakuta NOT SELECTED FOR ORAL but kwnye web yao bado ipo SELECTED FOR ORAL hvyo kufuata maelezo ya walamba asali,wenye mauzoefu ya kupga oral bila kupata kazi wanasema hapo sina changu nishakula NDOIGE ya kushoto na kuna member mmoja hapo anasemaga BABAJEN BAIBAI ni hvyoo yani kujipanga kwa next received japo baadhi ya wadau wanaema pdf ndo habari ya mj

Mim kwangu baada ya kupita mchujo niliandikiwa SELECTED FOR ORAL Kwenye App baada ya kwenda pale migiro na kufanya oral yangu ,nikarudi zangu kitaaa so last week naingia kule App nakuta NOT SELECTED FOR ORAL but kwnye web yao bado ipo SELECTED FOR ORAL hvyo kufuata maelezo ya walamba asali,wenye mauzoefu ya kupga oral bila kupata kazi wanasema hapo sina changu nishakula NDOIGE ya kushoto na kuna member mmoja hapo anasemaga BABAJEN BAIBAI ni hvyoo yani kujipanga kwa next received japo baadhi ya wadau wanaema pdf ndo habari ya mjini
Mimi ilianza selected for oral baadae selected for null
Sawa mkuu ngoja tusubiri waje na majibu hapa
Status sio issue sanaa mm ilianza selected for oral then selected for null na kazi nlipata
 
Mkuu makofia360 nipo maeneo yako hapa.
Screenshot_20230624-170802_One%20UI%20Home.jpg

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom