Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,613
[emoji23][emoji23]...si ndiyo kwake au??[emoji1][emoji1][emoji1] hapo kituon mkuu ,hicho kituo kinapatikana Kinyerezi kama unaenda Mbezi.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]...si ndiyo kwake au??[emoji1][emoji1][emoji1] hapo kituon mkuu ,hicho kituo kinapatikana Kinyerezi kama unaenda Mbezi.
selected for null mara nyingi ni app ina shake mpk install tena ndo utaona ukwel wake...Mimi ilianza selected for oral baadae selected for null
Status sio issue sanaa mm ilianza selected for oral then selected for null na kazi nlipata
Mimi ilianza selected for oral baadae selected for null
Status sio issue sanaa mm ilianza selected for oral then selected for null na kazi nlipata
Prepare for asaliSelected for Null maana bado hujapata placement, anyway nimechungulia status zangu kwenye App zinasoma “Selected for oral”. Niendelee kusali nipate baraka za databezi[emoji3]
Daah sio poa wakuu placement zimekauka sanaila PDF zimekauka siku hizi week ya pili hii hakuna PDF ya maana
Week ya pili hii aixee kimya Sekretarieti ya AjiraDaah sio poa wakuu placement zimekauka sana
Daah sio poa wakuu placement zimekauka sana
Na saili nyingi tu zimeshafanyikaWeek ya pili hii aixee kimya Sekretarieti ya Ajira
Tatizo wanarundika sana kazi mwisho zinawalemeaKuanzia mwaka mpya wa fedha, July 1 mambo yataanza kuwa moto.
Tatizo wanarundika sana kazi mwisho zinawalemea
Sasa hawana Cha kupost au unataka wapost mkataba wa DP worldWeek ya pili hii aixee kimya Sekretarieti ya Ajira
Hahahaha 🤣🤣Sasa hawana Cha kupost au unataka wapost mkataba wa DP world
Ndio mkuu inaeza kua vibali vya kuajiri mwanzo wa mwaka vimekua vingi kwahiyo labda wanaeza toa kwanza waliopo database. Kwahiyo wale wa Database wakae mkao wa kulaa.Kuanzia mwaka mpya wa fedha, July 1 mambo yataanza kuwa moto.
Hivi sihitakuwa mwezi wa 8 Yaan kuanzia Agust ,,,Maana mwzi wa saba a/c zote za serikali huwa zinafungwa na kufunguliwa mwezi wa naneKuanzia mwaka mpya wa fedha, July 1 mambo yataanza kuwa moto.
Je mmeripoti wote kwa siku moja?, je wote mmejaza taarifa zenu kwa mwajiri kwa siku moja?. Kutokupata mshahara maana yake ni kwamba mchakato wa kuingizwa kwenye pay roll ya serikali haujakamilika. Tulia wala usipaniki! Ila mwezi ujao usipopata tena hapo anza kufuatilia kwa HR.Hivi wakuu hii imekaaje unakuta mmeripoti watumishi wapya 10 halaf mshahara wa mwezi huu wamepata 8 na kuna 2 bado hatujaingia shida inakua nini?
Wenzangu nillioripoti nao siku moja, saa moja wamepata halaf tuliripoti toka tarehe 5 mwezi wa 5, mshahara wa mwezi wa 5 tukakosa na mwezi huu baadhi wamepata wengine badoJe mmeripoti wote kwa siku moja?, je wote mmejaza taarifa zenu kwa mwajiri kwa siku moja?. Kutokupata mshahara maana yake ni kwamba mchakato wa kuingizwa kwenye pay roll ya serikali haujakamilika. Tulia wala usipaniki! Ila mwezi ujao usipopata tena hapo anza kufuatilia kwa HR.