HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilisema hapo juu watu kama nyie hamkosekani,watu tunazungumzia kuhusu mchakato unaoendeshwa na haohao utumishi,miongozo ipo wazi wewe unasema alipigiwa simu!!ni official channel ya information hiyo au ndio kufumba watu macho kupitia hicho kichaka??ndio maana nikasema watu kama nyinyi mpo,mtu nauliza vipengele vya mkataba wa simba na baleke wewe unatetea hoja kwa kusema baleke ni mzuri tangu anacheza mazembe,sasa hapo mwenye jukumu la kuwa wazi ni utumishi au ni sisi tuanze kutafuta waliopigiwa simu
Kiongozi..review humu thread tulipiga sana kelele hilo swala tukasema ni kichaka cha kuingiza watoto wao...mwisho wa siku kunawengine humu walikuwa wanasema ni Sawa taarifa inawai kabla ya Utumishi update...
Cha msingi tunasema kama bahati yako ipo ni ipo tu Mungu hamtupi mpambanaji...


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
[emoji56][emoji56][emoji56], so blessing.... kumbe wizara zinatofautiana.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app

Nahisi pia inadepend na kitengo kwa mhasibu sidhani kama anakwenda field. Ndugu yangu ni mchumi anazunguka sana mikoani kukagua Projects nknk. Kuna wizara ni nzuri kama ukipata wizara ya Afya, madini, Nishati [emoji847][emoji847]
 
Humu tukishaanza kujadili
kwa nini utumishi wanachelewa kuita watu kazini baada ya oral .
Kuna wakuu huwa wanaleta mada za mishahara na status...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama nilivyowah kuweka wazi kwamba hiki kilio haijalishi niwe nmelamba asali au la.......pa kusema tumeendelea kusema sana na pa kushauri nmefanya hivyo....
Isje onekana kama ni mbinu ya kuzima mjadala ilihali nmekuwa mdau wa title ya mada ya kwann psrs wanatumia muda mrefu kukamilisha mchakato
 
Humu tukishaanza kujadili
kwa nini utumishi wanachelewa kuita watu kazini baada ya oral .
Kuna wakuu huwa wanaleta mada za mishahara na status...😁😁😁
Wanazingua sana wanazima hii mada ambayo ndiyo ya msingi kabisa 🤔🤔🤔
 
Humu tukishaanza kujadili
kwa nini utumishi wanachelewa kuita watu kazini baada ya oral .
Kuna wakuu huwa wanaleta mada za mishahara na status...😁😁😁
Jibu la kwann wanachelewa mpaka leo halijapatikana. Ndio maana watu wanapata relief kweny Status na wengine kujua mishahara basi cku inasonga.
 
Back
Top Bottom