HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
msome mzee [mention]mbingunikwetu [/mention] katika hali ya utulivu na utapata kitu. Ni mkongwe kwenye utumishi na ana uzoefu mkubwa katika masuala ya rasilimali watu. Hanufaiki chochote kuwatetea PSRS.
@ Mbinguni kwetu yupo sahihi, mimi barua yangu ya placement iliandikwa toka tarehe 15, March 2023, ila kwenye pdf nimetoka tarehe 10, May ,2023 kama tatizo lingekuwa ni psrs hizo barua zisingekaa muda mrefu hizo itakuwa ni serikali katika bajeti zake kama alivyosema mbinguni kwetu kwa sababu mambo hupangwa kwa bajeti na bajeti kwa kawaida ni makadirio na makadirio yanaweza yakazidi uhalisia, yakawa chini ya uhalisia au yakawa sawa na uhalisia, kwa hiyo serikali inaonekana ili tangaza ajira hizi ikiwa na makadirio ya kukusanya kiasi fulani cha pesa, sasa kile kiasi kisipofikiwa ndio hivyo maswala lazima yawe taratibu(slow).

Cha msingi ni kuendelea kumuomba Mungu tu kila jambo ataribarikia.
 
Tpdc bado watu watalamba sana asali hawana hiana hawa na TPA pia hawana hiana
Note me
Taasisi Tamu
TpA
Taasisi za bima
Wizara mbalimbali Next.....

Msiwapondee PSRS wanawalazimisha taasisi na wizara mbalimbali mno kuchukua database

Tunawacheck TBS nakutoa chozi wachukue nao🙏 Wasakatonge Msikate tamaa jamani
 
Kwenye bold, finito
 
Wazee natamani kutukana aisee sipo kweliiii inauma sana mnoo
Kutukana hakutakusaidia muombe Mungu atakusaidia ,kazi za serikalini zinahitaji uvumilivu wa hali ya juu.Mfano hizi pdf za sasa tangu zitangazwe nafasi za kazi n mwaka jana tukaapply kuja kuitwa written mwez December yan mtu ulishagasahau hata kama uliapply baada ya hapo tukakaa hadi february ndio kuja kuitwa oral baada ya hapo ndio kuanza kuitwa kuna watu bado hawajaitwa ila wamefaulu yaani wataitwa muda wao ukifika.Kusubiria n kazi ngumu sana lakini kwa system ya serikali hamna namna endelea kuwa na subira huku ukimuomba Mungu na ww jina lako liwemo kwenye pdf zijazo.
 
Hongereni wote mlio bahatika kupata kazi. Kama bado haujapata usikate tamaa tambua wakati wako bado. Kila mtu ana wakati wake wa kufanikiwa kimaisha, hatuwezi wote tukafanikiwa kwa kipindi kimoja, kila binadamu ana kipindi chake cha kufanikiwa, ukilielewa hilo umeyaelewa maisha.
 
Ni kweli usikate tamaa na endelea kufanya saili zingine ili kupanua wigo.
Kuna saili hizi za wanataaluma pale UDSM kama ukiwa umeitwa usisite kwenda. Usiogope gharama huko ni kuwekeza. Kumbuka wanaolamba asali sasa wengine wameshafanya saili nyingi sana, na wametumia pesa nyingi sana, na wameshasubiri sana! Hatimaye ikawadia siku yao ya kuvuna walichowekeza!
 
Aiseeee kwakweli. Nikihesabu hapa nimepiga interview 9.. ya kumi ndio hii tu niliitwa oral ila bado nasubiri mkeka yaaani. Subra muhimu usiangalie leo tu.
 
Back
Top Bottom