Ni kweli majibu hayatoki mkuu lakini je kwanini status zibadilike after interview? hauoni uhusiano hapo?Vijana kuweni makini Hakuna utaratibu wa kutoa majibu ya Oral, Ukifanya Oral Interview subiri PDF.
App mkuuHii ni kwenye App au web??
Kigezo kikubwa kwa mshahara ni kiwango cha elimu na aina ya taasisi iliyokuajiri.Najaribu kuwaza mshahara wa mwalimu anaefundisha kiswahili SHULE ya mazoezi Chang'ombe ana mshahara Sawa na Afisa wa NECTA anaesimamia, utungaji,usahihishaji wa mitihani nchi nzima. Huyu mmoja yupo kwenye risk sana. Ila Kwa Tz Kila kitu kinawezekani
ujue kuna muda uliokadiriwa kwa kujibu swali. Maswali yenyewe ni objective type na siyo subjective type kama vile essay. Hapo wanakusaidia kurudi kwenye mstari!!Kuna jambo linakera sana utumishi hasa kwenye “Oral”. Unakuta umeulizwa swali umeanza lijibu kwa kutaja point ile unaanza elezea wanakukatisha wanakwambia just mention wanakera sana. Kama mtu anataka kuelezea wamwache kumkatisha mtu haiependezi kabisa.
Dogo anataka kuelezea nini, hahahaha! Pale kwenye panel Kuna mtaalamu mmoja au wawili wa hiyo fani kwahiyo wewe ukitaja tu watu wameshajua kama umewakanda au wamekukandaujue kuna muda uliokadiriwa kwa kujibu swali. Maswali yenyewe ni objective type na siyo subjective type kama vile essay. Hapo wanakusaidia kurudi kwenye mstari!!
ujue kuna muda uliokadiriwa kwa kujibu swali. Maswali yenyewe ni objective type na siyo subjective type kama vile essay. Hapo wanakusaidia kurudi kwenye mstari!!
Nigga bimkubwa alikuchana...ulitaka kuanza kuleta Bongofleva..wakati yeye anataka HipHop...Kuna mama alinambia hatutaki mbwembwe just mention go strait[emoji23][emoji23][emoji23]
But zile za Mda& Lga status haijachangeApp mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nigga bimkubwa alikuchana...ulitaka kuanza kuleta Bongofleva..wakati yeye anataka HipHop...
Kada ganiBut zile za Mda& Lga status haijachange
Mwanzo ilikuwaje na sasa ipoje? Kabla ya oral na baada ya oral?But zile za Mda& Lga status haijachange
Aje atuambie hapa hususan kwenye appMwanzo ilikuwaje na sasa ipoje? Kabla ya oral na baada ya oral?
Mimi kwenye app ipo vile vile tu SELECTED FOR ORAL kama kwenye webAje atuambie hapa hususan kwenye app
Bila shaka umetoboa wait for pdfMimi kwenye app ipo vile vile tu SELECTED FOR ORAL kama kwenye web
kabla ilikuwa selected for oral na haijawai change.Mwanzo ilikuwaje na sasa ipoje? Kabla ya oral na baada ya oral?
MTAKWIMU IIKada gani
kwenye web na appkabla ilikuwa selected for oral na haijawai change.
Wakisema mention just mentionKuna jambo linakera sana utumishi hasa kwenye “Oral”. Unakuta umeulizwa swali umeanza lijibu kwa kutaja point ile unaanza elezea wanakukatisha wanakwambia just mention wanakera sana. Kama mtu anataka kuelezea wamwache kumkatisha mtu haiependezi kabisa.