Speaking on behalf of woote ambao tumepiga writen kadhaa na hatujawahi bahatika kuingia oral(nikiwa m1 wao).
Mungu atusaidie na sisi siku 1 tuje humu tuzungumze lugha 1 kuhusu placements. Tusi kosoe system ya data base kwa hofu ya kwamba hakutakua na new advertisements[emoji16]. Kama ipo ni ipo tu n suala la mda.
Salute kwenu nyote ambao mshawahi toboa written interview ya utumishi. Zile paper sio masihara aise, yan mtu mpaka unakuja kutoboa kwenye watu let say 10 out of 500 n mziki,
Ndo maana inakuaga ngumu m mtu kuniaminisha watu wanaotoboa apo n vilaza. Wana kitu.
Being aware about vtu viwili ambavyo husaidia kutoboa
1.juhudi
2.maombi(kila mtu kwa imani yake, kuna % chache sana za kutoboa kwa juhudi peke ake bila maombi na maombi peke ake bila juhudi.
Point yangu kwa kuyasema haya ni "tusikate tamaa", tuzidishe juhudi na maombi pia. Kesho n zamu yangu kama sio yangu basi n yako na yangu itakua kesho kutwa.
Imani yangu iko psrs. Have a good day