HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nipo humu napitapita tu najua ipo siku moja inshaallah nitakwenda kumeguka kwenye hili bando la jobless na kuingia kwenye kitengo cha asali mbichi

Kikubwa dua na kuendelea kujifukiza na kuzihoji mamlaka husika KWA NINI MCHAKATO WA UTUMISHI UNACHUKUA MUDA MREFU HADI KUKAMILIKA KEAKE?
 
Salaam wakuu, naomba msaada kidogo juu ya kujaza information Kwa ajira portal. Kwenye experience pale, kila nikijaza nikamaliza na ku save naambiwa kuwa nimejaza successful but still sioni kitu. Nimejaribu almost a week mida tofauti tofauti bila mafanikio. Please naomba msaada ku handle hili. Naona deadline inafika in four days later.
Hiyo tayari mdau kuwa na amani moyoni.chukua Pepsi kunywa tulia tuli
 
Oyaa wadau eeeeh, naulizaaaaa.
Hizi ajira za TRA ukiwa na GPA below 3.8 utaitwa kwenye usaili?
 
Hapana mkuu, Niki preview CV sehemu ya experience sioni kitu. That means haija save.
Kwenye mfumo itakuwa tayari kama wamekuandikia successful ww huwezi kuona badiliko kwa muda huo ila kwenye system yao tayari imesave mdau kuwa na amani
 
Ndivyo mliambiwa hivyo?so kila mwenye cpa aliyeomba ni uhakika sio?
Mwambie kk hajui ka wenye CPA pia wapo wengi sahv ,,,lkn pia wenyewe wanataka bachelor tupu watu wakawe maafisa Kodi na maafisa forodha ,,..CPA ni kweny auditing/ Account hivi labda
 
Back
Top Bottom