Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Kwa idadi ile ya post mnastahiki kuitwa peke yenu kwenye sailiUtumishi Wanapotoa pdf ya kuita afisa maendeleo II kwenye written interview basi wakumbuke pia kutoa majina ya afisa maendeleo II walioingia kwenye kazi data interview ya mwaka jana wasijisahau kabisa.