HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Una maana gani kusema hawataajiri tena tutorial assistants?
Ni Kwamba kwa mwaka huu hizi ndio post za mwisho za T. A kwa udom au milele hawataajiri tena T.A?
Mzushi tu huyo, mimi nahisi ni mpigaji tu wewe uoni hapo kaandika kwa anayehitaji hizo nafasi za T.A amfuate inbox , inamaana wewe ujasoma mchezo tu , huko inbox kuna nini?
 
Hvi wadau kule serikalini kima cha chini baada ya makato mtu anatoka na kiasi gani? yan nazungumzia wafanya kazi wenye elimu ya form four
Dooh haya mambo ya mishahara ni siri ya kambi
Ngum mtu kutamka ngap anapata
 
Ngoja nikutumie pdf la mishahara uangalie upande wa mahakama.View attachment 2658977
Asante sana kwa document hii muhimu. Ila kuna sekta sijaziona humo kama zile za wahadhiri ambao hutumia PUTS scale na zile za taasisi za elimu ambazo hutumia PTSS scales kama NECTA, scales za mashirika ya umma wanaotumia PGSS, scales za mashirika ya umma ya afya yanayotumia PMGSS kama vile Muhimbili nk . Kama unaweza kuzipata tafadhali zitupie pia hapa. Asante sana.
 
Labda wanataka kuanza na nyie mwaka mpya wa bajeti hii imemkuta hata rafiki yng kapangiwa halmashauri tangu aliport mwez wa 5 bado hajaitwa.
Lakini mshahara wa mwezi wa sita utauramba ukiwa nyumbani, wakichelewa na wa saba utairamba ukiwa nyumbani. Toka siku uliporipoti wanakuhesabu kuwa uko kazini. Hii ni kwa mujibu wa uzoefu wa wale waliotangulia, japo haijaainishwa hivyo rasmi. Tatizo ni nkwa yule aliyeajiriwa mbali na nyumbani na analazimika kujigharimia malazi na chakula, ni kero kubwa sana!!
 
Kama n kweli basi vzr watawarahisishia maisha.
 
Back
Top Bottom