HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu na wewe unalisubiri hili pdf, tupo pamoja na kama ni kada yako tupeane abc tafadhali.
Nalisubr mkuu
Ni kada yangu kabsaaa !!
Maana mm ndo afisa mweyewe mweye kada yake ..sema ndo hvyo tunasubiri mpambano
Maan unawez jikuta mwamba ukakandwa vibaya sana
 
Nalisubr mkuu
Ni kada yangu kabsaaa !!
Maana mm ndo afisa mweyewe mweye kada yake ..sema ndo hvyo tunasubiri mpambano
Maan unawez jikuta mwamba ukakandwa vibaya sana
Aisee na mimi tupo pamoja humo hiyo ni filed yangu kabisa siyo zile other related course.
 
Wadau mwenye kujua TPCSS4 ni miangapi hapo kwa hawa wazee wa posta
 
Hivi wakuu kuna uwezekano hadi mtu kashapata barua ya kuripoti kazin lkn
Kwenye kuhakiki vyeti akajikuta anakosa hiyo kazi... sababu Labda vyeti kuwa na dosari
Uwezekano huo ni mdogo sana!! Kumbuka ili ufanye usaili lazima uoneshe vyeti original. Wanaoikagua vyeti wameelimishwa jinsi ya kutambua vyeti fake!! Hadi sasa haijatokea, ikitokea lazima itavuma sana!!
 
Ina maana pdf la afisa maendeleo ya jamii limekuwa zito sana mpaka utumishi wanashindwa kulibeba

Miezi 2 sasa

Utumishi Wanapotoa pdf ya kuita afisa maendeleo II kwenye written interview basi wakumbuke pia kutoa majina ya afisa maendeleo II walioingia kwenye kazi data interview ya mwaka jana wasijisahau kabisa.
 
Labda ndio sababu inayowafanya wacheleww? Ikiwa wanachakata nafas z walio katika.database
 
Back
Top Bottom