HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi wakuu kuna uwezekano hadi mtu kashapata barua ya kuripoti kazin lkn
Kwenye kuhakiki vyeti akajikuta anakosa hiyo kazi... sababu Labda vyeti kuwa na dosari
 
Kuna halmashauri niliripoti 15/5 hadi leo sijapigiwa simu Wala wenzangu tulioripoti nao.
Labda wanataka kuanza na nyie mwaka mpya wa bajeti hii imemkuta hata rafiki yng kapangiwa halmashauri tangu aliport mwez wa 5 bado hajaitwa.
 
Hivi wakuu kuna uwezekano hadi mtu kashapata barua ya kuripoti kazin lkn
Kwenye kuhakiki vyeti akajikuta anakosa hiyo kazi... sababu Labda vyeti kuwa na dosari
Vyeti mnahakikia wapi tena mkuu??
Mm najua ukishapata placement unaenda kureport na vyeti vyako og watatoa copy wakurudishie imeisha hiyo procedure nyingine zinaendelea.
 
Nimeona hapo kuna mdau kasema kuwa ukishapata placemate kuna uhakiki wa vyeti ambao huchukua had mwez 1
 
Hivi wakuu kuna uwezekano hadi mtu kashapata barua ya kuripoti kazin lkn
Kwenye kuhakiki vyeti akajikuta anakosa hiyo kazi... sababu Labda vyeti kuwa na dosari
Ndio lakini ni case chache sana zinatokea. Taarifa za vyeti huwa wanazituma baraza ili wahakiki kama ni vyeti halali. Ikitokea vyeti ni feki apo ndio mtu anaweza kukosa kazi hata kama placement imetoka utumishi.
 
Ooh àsante kwa ufafanuzi
Kumbe ofisi inayokuajili yenyewe haihusiki na uhakiki Bali ni necta sio
 
Chuo kikuu cha Dodoma kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi kwa wenye vigezo mnaweza kuomba, kwa upande wa Tutorial Assistant (wenye degree) probably hizi ndo nafasi za mwisho kutangazwa maana hawataajiri tena Tutorials (probably)..kwa anayehitaji msaada wa hizi post za ukufunzi chuo kikuu anakaribishwa inbox..all the best guys.

3.5[emoji2363]
 
Nimeona hapo kuna mdau kasema kuwa ukishapata placemate kuna uhakiki wa vyeti ambao huchukua had mwez 1
Hv huo mwezi mmoj wanahakik nn wakati ndugu zao Necta,nacte na tcu wapo na ni suala la kupga simu tu
 
Back
Top Bottom