mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
mkuu hii c ni mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya.Hivi hawa DCEA mfumo wao wa kuajiri ukoje, kuna yeyote aliyewahi kusikia nafasi za kazi DCEA?
dcea na takukuru madam president alizilalamikia ikiwemo kuhusu kubambikizia watu kesi na michakato yao ya ajira.
turudi kuhusu DCEA hii ni authority sensitive sana kwa nchi nadhan waanajiri kwa usiri na vetting ya kutosha kama TISS mkuu