Kwani BOT Walishawahi kupitisha Ajira Psrs??Ilianza TRA, sasa amefuatia BOT kujifanyia usaili yenyewe!! Huku kwa wenzangu na mimi ( PSRS) mwisho wa siku zitabakiaga za LGA tu!! Ni mbaya sana lakini naona ndiko tunakoelekea!! Wakubwa wameamua liwalo na liwe!!