mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
daah pdf uchwara tena !!
Classmate wang o-level naona kalamba asali wizara ya MajiKuna ka-pdf haka wametupia ka page 2. Mliofanikiwa kuramba asali mkawe watumishi wema.Msisahau kumshukuru Mungu na kumbukeni kuwaombea ambao bado wanasubiri.
Amina mtumishi tunashukuru kwa maneno ya namna ya umuhimu wa kumshukuru Mungu daima , Ubarikiwe sanaKuna ka-pdf haka wametupia ka page 2. Mliofanikiwa kuramba asali mkawe watumishi wema.Msisahau kumshukuru Mungu na kumbukeni kuwaombea ambao bado wanasubiri.
Sio kweli mi nina jamaa yangu kapata kazi BOT nadhani mwaka jana mwanzoni na alikua fresh from school sema wakati anaajiriwa BOT alikua anafanya kazi crdb kama intern zikatangazwa kazi aliomba na alipataHuko
BOT ni mwendo wa kutaka wenye experience tu!! Unaambiwa uwe na experience ya angalau miaka 3!! Maana yake wanalenga watu wenye ajira tayari ambao watahamia huko kwenye green pastures!! Suala la kutaka wenye experience wadau walilipigia sana kelele na likawa limeishia. Naona huko BOT bado lipo sana!! Watu waliuliza kama mnataka wenye experience hawa fresh graduates mtawapeleka wapi?? Hao wenye experience wasingeaminiwa na kupewa nafasi, wangepataje hiyo experience? Ona mfano wa wanavyotaka:
Holder of a Bachelor Degree in Land Management and Valuation or itsequivalent from a recognized University with at least an Upper SecondClass grade.• Candidate must have relevant working experience of not less than three years.
Zile za mwaka jana walikua specific wanataka fresh graduate au mwenye uzoefu usiozidi miaka mitatu..Sio kweli mi nina jamaa yangu kapata kazi BOT nadhani mwaka jana mwanzoni na alikua fresh from school sema wakati anaajiriwa BOT alikua anafanya kazi crdb kama intern zikatangazwa kazi aliomba na alipata
Hongera kwakeClassmate wang o-level naona kalamba asali wizara ya Maji
Mbona Tanroads zamani walikua wanatangaza wenyew ila Leo wametangaza via Utumishi. Hiyo huionii??Ni kweli lakini siyo sawa!! Ukiona watu bila aibu wanaamua kutumia utaratibu wa "double standard" ujue kuna tatizo kubwa!!
Unabishana na tangazo au ?Sio kweli mi nina jamaa yangu kapata kazi BOT nadhani mwaka jana mwanzoni na alikua fresh from school sema wakati anaajiriwa BOT alikua anafanya kazi crdb kama intern zikatangazwa kazi aliomba na alipata
Kuna mkaka namjua alipata alikuwa fresh from school.Huko
BOT ni mwendo wa kutaka wenye experience tu!! Unaambiwa uwe na experience ya angalau miaka 3!! Maana yake wanalenga watu wenye ajira tayari ambao watahamia huko kwenye green pastures!! Suala la kutaka wenye experience wadau walilipigia sana kelele na likawa limeishia. Naona huko BOT bado lipo sana!! Watu waliuliza kama mnataka wenye experience hawa fresh graduates mtawapeleka wapi?? Hao wenye experience wasingeaminiwa na kupewa nafasi, wangepataje hiyo experience? Ona mfano wa wanavyotaka:
Holder of a Bachelor Degree in Land Management and Valuation or itsequivalent from a recognized University with at least an Upper SecondClass grade.• Candidate must have relevant working experience of not less than three years.
Unauliza swali mkuu?au unatoa taarifa?Kuna mtu kaitwa saili ya Chuo cha tengeru
Duh kumbee!!Tusome kidogo wadhamini wetuView attachment 2650225
Mapema sana mkuu, Baba Jane bye bye, jobless tunamateso ya kila namna mengine hayafai ata kuzoelekaTusome kidogo wadhamini wetuView attachment 2650225