Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Ajira serekalini ni ualimu na afya wengine ni mwendo wa choo cha mbuzi tena kwa mchakatoo unaoweza kuchkua mwaka mzimaSio mgeni, ila hatupaswi "kuchekeana chekeana" kwa kushindwa mambo madogo madogo namna hii.