Sasa hv tunasisistizana kupiga kelele why??sisi tumepiga kelele kama uzi unavyosema hakuna aliyetusikikiza,acha maumivu yatuingie pamoja ili tuongee lugha moja,utumishi kuna uzembe ndio umeleta yote hayaAkianza mmoja na wengine watafuata, hasa zile taasisi zenye maslahi makubwa kama BOT nk. TRA ametangulizwa kupima kina cha maji!! Wakiona watu hawajashtuka utakuwa ndio mtindo wenyewe!! Inabidi wadau kwa pamoja wapige sana makelele kwenye mitandao yote ya kijamii!! This is serious, ikiwezekana hata kuandamana kwa amani!!!