Mtu alie pata zero ndo hawa huwa wapo vizuri sana kichwani na wanaupeo mkubwa sana kufikiri sema paper kama ile inawafanya wazalilike kisa maswali ya ajabu ajabu, mambo kama haya ndo mtu anakuja kuwa mtu mkubwa mkashangaa, what is zero?Ni hatari!! Lakini hiyo zero itawafanya wakasirike sana, kwa hiyo interview nyingine lazima walambe 90+
Naweza kulima, kufuga na shughuli zingine mambo yakaenda,hamna cha zero wao ndo wameamua kuwapa zero, zero maana yake hamna kitu yaani empt, mtu ni una mpa zero hajaandika chochote au ni unyanyasaji sana sema hamna namna ila amini nawambia hiyo zero siku itawalisha.