Mfwende vipi man umetoboa ? Naona kuna wana kibao wamekula zero zero hapo kama hawana akili fresh
Kuna muda mchumi inabidi atumie elimu aliyoipata darasani kutafakali mambo. Nafasi unaona ni 1 afu imepelekwa mkoani dodoma, nauli unatumia zaidi ya 150,000 huku ukiwa haujasoma maandalizi ya kutosha. calculate benefits & costs kabla ya kufanya jambo. Kuna muda tunapoteza nauli kwa kujitakia. Angalia opportunity cost kabla ya kuamua jambo mchumi.Mfwende vipi man umetoboa ? Naona kuna wana kibao wamekula zero zero hapo kama hawana akili fresh
Ni hatari!! Lakini hiyo zero itawafanya wakasirike sana, kwa hiyo interview nyingine lazima walambe 90+Hawa wana wameramba zero aisee hatari sana...tujiandae wakuu tusifanye zima moto
sikuenda mkuu ,nilikwepa ile nyomiMfwende vipi man umetoboa ? Naona kuna wana kibao wamekula zero zero hapo kama hawana akili fresh
Miàka hiyo naanza kazi 2012, nilikaa nyumbani hadi salary iliposoma ndio nikarudi kaziniKwa taarifa yako kupigiwa simu haina maana kwamba mwajiri amejiandaa kukupokea na kukupa pesa za kujikimu. Maana yake ni kwamba umeshaingizwa rasmi kwenye pay roll ya serikali na uhakiki wa vyeti umekamilika. Wapo waliopigiwa simu na bado hawajapata posho ya kujikimu na nina mifano halisi!! Ilikuwa hivi: Waliporipoti na barua ya psrs waliishia kujaza taarifa binafsi, kuonesha vyeti na kuambiwa rudini tutawaitya kwa simu. Baada ya wiki mbili wakapigiwa simu. Walipofika kazini walipewa barua rasmi za ajira, kupewa maelekezo ya majukumu yao, wakapewa fomu za kuomba ruhusa siku 14 na wakaondoka. Huku nyuma wakaambiwa posho zao. zinashughulikiwa! Kuna wengi ni miezi sasa posho bado ni kitendawili!!
5-4-4-4 Kwa SasaIv kupanda daraja Huwa ni Kwa miaka mingap ?
Kama mambo yakienda vizuri ni miaka 4.Iv kupanda daraja Huwa ni Kwa miaka mingap ?
Advertisements za kuanzia december watatia miguu yao na mikando ya mwakani mnao!, bado wanakumbuka mpaka gestures za lecturer anaposisitizia point!!. Huku hakuna foleni ya waliohitimu mwanzo kupewa kipaumbele kama kwenye ualimu!!Mwaka huu mwezi wa 11 kuna kontena jipya litaingia kitaani la graduates aseeeee
Lakini ujue umekwepa pia asali tamu zaidi!!sikuenda mkuu ,nilikwepa ile nyomi
mkuu najua hilo ila pia site nilipo kupata ruhusa hadi uzimie getini,miyeyusho kinomaLakini ujue umekwepa pia asali tamu zaidi!!
Wakati mwingine hata meza ni shida. Unajibanza kwenye meza ya mtu, hakuna cha orientation wala nini! Unaweza kushinda unasoma gazeti hadi matangazo yote ya biashara. Hii huwa inatokea hasa kama halmashauri inakupangia kwenye kata fulani!!Ajira mpya ASA walikuwa Morogoro wiki nzima wanakula mafunzo na perdiem. Halmashauri huwezi kuona hayo mambo ukipokelewa sana sana watakupa meza na kiti tayari uanze majukumu
Mshukuru Mungu angalau una mahali pa kukupa nguvu ya kusubiria!!mkuu najua hilo ila pia site nilipo kupata ruhusa hadi uzimie getini,miyeyusho kinoma
Mimi sio muongo muongo mkuu,mm nimlinzi sehemu fulani ubalozini huku.Mshukuru Mungu angalau una mahali pa kukupa nguvu ya kusubiria!!