daniel enocy
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 380
- 413
Tutafanyaje sasaVijana wasaka mirija ya asali Bado munahiimani PSRS [emoji23]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tutafanyaje sasaVijana wasaka mirija ya asali Bado munahiimani PSRS [emoji23]
Inasikitisha sana kwa kweli.mchumi - nafasi 1. tume ya utumishi Bunge tumeitwa 900. haloo vijana tunapitia mengii
na saiz tunaanza kubato na graduates wapya wa 21-22 kama hauko fit imekula kwakoo.
HatariiiInasikitisha sana kwa kweli.
Kwenda masomoni unaweza kuruhusiwa baada ya miaka miwili. Lakini hii haina maana kuwa baada ya miaka miwili tayari unaruhusiwa kwenda masomoni. Lakini utaratibu ni kwamba inabidi uombe kuwekwa kwenye training program ya mwajiri wako. Training program husaidia kuhakikisha kuwa watu hawaondoki holela kwenda masomoni ili kuepusha watu wengi kwenda masomoni kwa pamoja na kuathiri utendaji kazi mahali pa kazi.Kiongozi, yahitaji ukae kazini kwa muda gani ili ukidhi vigezo vya kuomba,
1) Kwenda masomoni?
2) Uhamisho kwenda taasisi ingine kwa mtumishi wa umma?
Umeeleza vizuri sana mkuuKwenda masomoni unaweza kuruhusiwa baada ya miaka miwili. Lakini hii haina maana kuwa baada ya miaka miwili tayari unaruhusiwa kwenda masomoni. Lakini utaratibu ni kwamba inabidi uombe kuwekwa kwenye training program ya mwajiri wako. Training program husaidia kuhakikisha kuwa watu hawaondoki holela kwenda masomoni ili kuepusha watu wengi kwenda masomoni kwa pamoja na kuathiri utendaji kazi mahali pa kazi. Kwa hiyo inaweza kuchukua miaka kadhaa hadi foleni yako ifike ya ruhusa ya kwenda kazini. Ukiomba kwenda masomoni kigezo cha kuruhusiwa ni je uko kwenye training program kwa mwaka huo? Hapo ndipo watu wengi hukwama. Unaweza kuomba kuwekwa kwenye training program mapema na kama hakuna mwingine aliyeomba unaweza kuruhusiwa. Vinginevyo utapangwa mwaka mwingine.
Kuhusu uhamisho kwenda taasisi nyingine hii inakubalika muda wowote baada ya probation period. Probation period ni kipindi cha mwaka mmoja ambacho unaangaliwa utendaji wako wa kazi ili uthibitishwe kazini. Kumbuka kuwa barua ya maombi ya kazi kwenye taasisi nyingine lazima ipitie kwa mwajiri wako wa sasa. Mwajiri haruhusiwi kuzuia barua yako lakini huandika recommendation/maoni yake. Positive recommendation ya mwajiri wa sasa ni muhimu, ndio maana vijana mnatakiwa kuishi kwa akili na viongozi kazini. Kuna kuhama kwa aina mbili: 1. Kuomba kazi nyingine kama zinavyotangazwa na psrs na barua ya maombi ipitie kwa mwajiri wako. Hapo utapitia kwenye utaratibu wa kawaida wa usaili wa psrs na ukifanikiwa unapata hiyo kazi nyingine. Kwa utaratibu huu mwajiri wako mpya atakuombea uhamisho na haitahesabika kuwa ni ajira mpya., na check number yako itakuwa ni hiyo hiyo 2. Kuomba nafasi ya kazi katika taasisi nyingine kwa kupitishia barua kwa mwajiri wako wa sasa. Kama taasisi hiyo itakujibu kuwa ina nafasi na inakubali kukuchukua, hapo utaandika barua ya kuomba uhamisho kwa katibu mkuu wizara ya utumishi, ukiambatanisha barua uliyoambiwa kuwa nafasi ipo (kumbuka kupitishia barua kwa mwajiri wako wa sasa). Katibu mkuu wa utumishi akiridhia maombi yako, utapewa uhamisho kwenda kwenye hiyo taasisi nyingine. In practice ili uweze kuhamia kwenye taasisi nyingine unatakiwa ufanye kuulizia kwanza personally kwenye hiyo taasisi unayotaka kuhamia kama nafasi ya kuhamia ipo. Wakionesha nia ya kukubali kukupokea ndio unafuata huo utaratibu nilioueleza kama formality huku ukijua kuwa mipango ulishainyoosha tayari. Hapa hakuna usaili nwa psrs.
Ni kweli kabisa. Ila tukubali kuwa psrs wanafanya haki kumwita kila mwombaji mwenye sifa zilizoainishwa kwenye tangazo la kazi ili ashindwe tu mwenyewe kwenye usaili. Vinginevyo malalamiko yangekuwa makubwa sana mtu kuwa na sifa halafu asiitwe kwenye usaili. Wakiomba wengi hakuna namna itabidi waitwe wengi. Ndio maana unaitwa ni mtihani wa mchujo.mchumi - nafasi 1. tume ya utumishi Bunge tumeitwa 900. haloo vijana tunapitia mengii
na saiz tunaanza kubato na graduates wapya wa 21-22 kama hauko fit imekula kwakoo.
Kwa mfano kwa muajiriwa mpya aloingia kwa diploma ameanza KAZI baada ya miezi kadhaa akaamua aongeze degree Ila kwa mfumo wa open university yaani kusoma online tena bila ofisini kujia so naulizia ikitokea boss akijua hiyo haitopelekea shida?Kwenda masomoni unaweza kuruhusiwa baada ya miaka miwili. Lakini hii haina maana kuwa baada ya miaka miwili tayari unaruhusiwa kwenda masomoni. Lakini utaratibu ni kwamba inabidi uombe kuwekwa kwenye training program ya mwajiri wako. Training program husaidia kuhakikisha kuwa watu hawaondoki holela kwenda masomoni ili kuepusha watu wengi kwenda masomoni kwa pamoja na kuathiri utendaji kazi mahali pa kazi. Kwa hiyo inaweza kuchukua miaka kadhaa hadi foleni yako ifike ya ruhusa ya kwenda kazini. Ukiomba kwenda masomoni kigezo cha kuruhusiwa ni je uko kwenye training program kwa mwaka huo? Hapo ndipo watu wengi hukwama. Unaweza kuomba kuwekwa kwenye training program mapema na kama hakuna mwingine aliyeomba unaweza kuruhusiwa. Vinginevyo utapangwa mwaka mwingine.
Kuhusu uhamisho kwenda taasisi nyingine hii inakubalika muda wowote baada ya probation period. Probation period ni kipindi cha mwaka mmoja ambacho unaangaliwa utendaji wako wa kazi ili uthibitishwe kazini. Kumbuka kuwa barua ya maombi ya kazi kwenye taasisi nyingine lazima ipitie kwa mwajiri wako wa sasa. Mwajiri haruhusiwi kuzuia barua yako lakini huandika recommendation/maoni yake. Positive recommendation ya mwajiri wa sasa ni muhimu, ndio maana vijana mnatakiwa kuishi kwa akili na viongozi kazini. Kuna kuhama kwa aina mbili: 1. Kuomba kazi nyingine kama zinavyotangazwa na psrs na barua ya maombi ipitie kwa mwajiri wako. Hapo utapitia kwenye utaratibu wa kawaida wa usaili wa psrs na ukifanikiwa unapata hiyo kazi nyingine. Kwa utaratibu huu mwajiri wako mpya atakuombea uhamisho na haitahesabika kuwa ni ajira mpya., na check number yako itakuwa ni hiyo hiyo 2. Kuomba nafasi ya kazi katika taasisi nyingine kwa kupitishia barua kwa mwajiri wako wa sasa. Kama taasisi hiyo itakujibu kuwa ina nafasi na inakubali kukuchukua, hapo utaandika barua ya kuomba uhamisho kwa katibu mkuu wizara ya utumishi, ukiambatanisha barua uliyoambiwa kuwa nafasi ipo (kumbuka kupitishia barua kwa mwajiri wako wa sasa). Katibu mkuu wa utumishi akiridhia maombi yako, utapewa uhamisho kwenda kwenye hiyo taasisi nyingine. In practice ili uweze kuhamia kwenye taasisi nyingine unatakiwa ufanye kuulizia kwanza personally kwenye hiyo taasisi unayotaka kuhamia kama nafasi ya kuhamia ipo. Wakionesha nia ya kukubali kukupokea ndio unafuata huo utaratibu nilioueleza kama formality huku ukijua kuwa mipango ulishainyoosha tayari. Hapa hakuna usaili nwa psrs.
Kuhama kwa connection hapo unaingia kwenye mambo ya kujuana ambayo hayana kanuni na tunayapiga vita. Hapo unaingiza kujuana na rushwa. Lakini utaratibu ni kutafuta kwanza personally halafu unafuata utaratibu. Kwa mfano wewe umeajiriwa kama Fisheries Officer II halmashauri fulani. Lakini una una sifa za kuwa Research Officer II kwenye taasisi ya utafiti wa samaki TAFIRI, kwa maana kwamba una GPA 3.8 au zaidi.Umeeleza vizuri sana mkuu
Na kuhama kwa connection inakuwaje? Maana nmesikia sikia pia
Ni muhimu ofisi ijue kwa sababu kuu tatu:Kwa mfano kwa muajiriwa mpya aloingia kwa diploma ameanza KAZI baada ya miezi kadhaa akaamua aongeze degree Ila kwa mfumo wa open university yaani kusoma online tena bila ofisini kujia so naulizia ikitokea boss akijua hiyo haitopelekea shida?
Nashkuru kiongoziNi muhimu ofisi ijue kwa sababu mbili: 1. Kipindi cha mitihani utahitaji kupata ruhusa ya kuhudhuria hiyo mitihani na ni siku ni kadhaa. Kama mwajiri hana taarifa na masomo yako utakwama maana hatakupa hiyo ruhusa. 2. Mwajiri akijua anaweza kukusaidia baadhi ya gharama hata kama siyo zote. Kumbuka kuna fungu maalumu kwa ajili ya kujiendeleza kielimu kwa watumishi. Ukifanya kimya kimya hutakuwa na haki ya kuomba kusaidiwa na fungu hili. 3. Kuna muda wa field hasa kwa masomo ya sayansi na ualimu. Kama mwajiri hajui utawezaje kwenda field? Hakuna sababu ya msingi ya kumficha mwajiri, utajitesa bure. Ila cha msingi ili mwajiri akuruhusu, inabidi ujiendeleze kielimu kwenye kada uliyoajiriwa nayo.
Kwenda masomoni unaweza kuruhusiwa baada ya miaka miwili. Lakini hii haina maana kuwa baada ya miaka miwili tayari unaruhusiwa kwenda masomoni. Lakini utaratibu ni kwamba inabidi uombe kuwekwa kwenye training program ya mwajiri wako. Training program husaidia kuhakikisha kuwa watu hawaondoki holela kwenda masomoni ili kuepusha watu wengi kwenda masomoni kwa pamoja na kuathiri utendaji kazi mahali pa kazi. Kwa hiyo inaweza kuchukua miaka kadhaa hadi foleni yako ifike ya ruhusa ya kwenda kazini. Ukiomba kwenda masomoni kigezo cha kuruhusiwa ni je uko kwenye training program kwa mwaka huo? Hapo ndipo watu wengi hukwama. Unaweza kuomba kuwekwa kwenye training program mapema na kama hakuna mwingine aliyeomba unaweza kuruhusiwa. Vinginevyo utapangwa mwaka mwingine.
Kuhusu uhamisho kwenda taasisi nyingine hii inakubalika muda wowote baada ya probation period. Probation period ni kipindi cha mwaka mmoja ambacho unaangaliwa utendaji wako wa kazi ili uthibitishwe kazini. Kumbuka kuwa barua ya maombi ya kazi kwenye taasisi nyingine lazima ipitie kwa mwajiri wako wa sasa. Mwajiri haruhusiwi kuzuia barua yako lakini huandika recommendation/maoni yake. Positive recommendation ya mwajiri wa sasa ni muhimu, ndio maana vijana mnatakiwa kuishi kwa akili na viongozi kazini. Kuna kuhama kwa aina mbili: 1. Kuomba kazi nyingine kama zinavyotangazwa na psrs na barua ya maombi ipitie kwa mwajiri wako. Hapo utapitia kwenye utaratibu wa kawaida wa usaili wa psrs na ukifanikiwa unapata hiyo kazi nyingine. Kwa utaratibu huu mwajiri wako mpya atakuombea uhamisho na haitahesabika kuwa ni ajira mpya., na check number yako itakuwa ni hiyo hiyo 2. Kuomba nafasi ya kazi katika taasisi nyingine kwa kupitishia barua kwa mwajiri wako wa sasa. Kama taasisi hiyo itakujibu kuwa ina nafasi na inakubali kukuchukua, hapo utaandika barua ya kuomba uhamisho kwa katibu mkuu wizara ya utumishi, ukiambatanisha barua uliyoambiwa kuwa nafasi ipo (kumbuka kupitishia barua kwa mwajiri wako wa sasa). Katibu mkuu wa utumishi akiridhia maombi yako, utapewa uhamisho kwenda kwenye hiyo taasisi nyingine. In practice ili uweze kuhamia kwenye taasisi nyingine unatakiwa ufanye kuulizia kwanza personally kwenye hiyo taasisi unayotaka kuhamia kama nafasi ya kuhamia ipo. Wakionesha nia ya kukubali kukupokea ndio unafuata huo utaratibu nilioueleza kama formality huku ukijua kuwa mipango ulishainyoosha tayari. Hapa hakuna usaili nwa psrs.
Mkuu, naona mifano yako mingi imeegemea sana kwenye kada za uvuvi (I've observed).Kuhama kwa connection hapo unaingia kwenye mambo ya kujuana ambayo hayana kanuni na tunayapiga vita. Hapo unaingiza kujuana na rushwa. Lakini utaratibu ni kutafuta kwanza personally halafu unafuata utaratibu. Kwa mfano wewe umeajiriwa kama Fisheries Officer II halmashauri fulani. Lakini una una sifa za kuwa Research Officer II kwenye taasisi ya utafiti wa samaki TAFIRI, kwa maana kwamba una GPA 3.8 au zaidi. Nenda kwenye taasisi hiyo ya utafiti kaulize kama wana nafasi ya kuhamia hapo. Wakisema nafasi wanayo, wape CV yako na waulize kama wanakubali ukihamia hapo kwa vsifa zako hizo. Wanaweza kukuhoji kidogo kuona uwezo wqako. Wakisema wanakubali, hapo ndipo uanzishe mchakato rasmi wa kuhama kama nilivyoueleza huku ukijua kuwa tayari wamekubali.
Ni muhimu ofisi ijue kwa sababu kuu tatu: 1. Kipindi cha mitihani utahitaji kupata ruhusa ya kuhudhuria hiyo mitihani na ni siku ni kadhaa. Kama mwajiri hana taarifa na masomo yako utakwama maana hatakupa hiyo ruhusa. 2. Mwajiri akijua anaweza kukusaidia baadhi ya gharama hata kama siyo zote. Kumbuka kuna fungu maalumu kwa ajili ya kujiendeleza kielimu kwa watumishi. Ukifanya kimya kimya hutakuwa na haki ya kuomba kusaidiwa na fungu hili. 3. Kuna muda wa field hasa kwa masomo ya sayansi na ualimu. Kama mwajiri hajui utawezaje kwenda field? Hakuna sababu ya msingi ya kumficha mwajiri, utajitesa bure. Ila cha msingi ili mwajiri akuruhusu, inabidi ujiendeleze kielimu kwenye kada uliyoajiriwa nayo.
Hutosaidiwa. Na hawapendi usome ili uwakimbie kwa maana ya kubadili kada. Wewe jilipie kisha soma unachotaka.Vipi kama nataka kuhama kada kwa kusoma open je naweza kusaidiwa gharama?
Iyo njia inatumika pale unapotaka kusoma mapema tuu baada ya kuingia kazini , kama ww level ya Sasa ni diploma alafu unataka kusoma degree ila boss wako level yake ya elimu ni master mara nyingi sana boss awezi leta shida labda kama ufanyaji wako wa kazi sio Bora , ila ukitaka kusoma kwa njia iyo make sure usiwe mwongeaji sana kazini coz ukitoka kidogo tuu boss atataka kujua upo wapi try kuwa mtu cool sana , kitu kingine usimwambie mtu yoyote icho kitu coz kesho ni fumbo , kitu kingine kipindi cha UE try kuchukua sick sheet then unapeleka hospital unaongea na doctor anajaza siku chache ili upate mapumziko ( kumbe ww unaenda kufanya UE )Kwa mfano kwa muajiriwa mpya aloingia kwa diploma ameanza KAZI baada ya miezi kadhaa akaamua aongeze degree Ila kwa mfumo wa open university yaani kusoma online tena bila ofisini kujia so naulizia ikitokea boss akijua hiyo haitopelekea shida?
Baada ya miaka miwili unaweza kuruhusiwa kwenda kusoma. Japo wengine huweka muda mrefu zaidi lakini kwa vyovyote si chini ya miaka 2. Uzoefu wangu binafsi ni miaka miwili.kusoma ni miaka miwili au miatatu?
na je ule mwaka wa probation wanauhesabia?
Huo utaratibu unaoshauri si utaratibu rafiki!! Ukitumia utaratibu huo ukikwama unakwama jumla!! Hivi wewe utaweza kufanya ujanja ujanja ukafanya UE kwa wiki mbili? Halafu ni masomo ya muda mrefu si chini ya miaka mitatu!! Wakati wa field utafanyaje kama masomo yako yanahitaji field?Iyo njia inatumika pale unapotaka kusoma mapema tuu baada ya kuingia kazini , kama ww level ya Sasa ni diploma alafu unataka kusoma degree ila boss wako level yake ya elimu ni master mara nyingi sana boss awezi leta shida labda kama ufanyaji wako wa kazi sio Bora , ila ukitaka kusoma kwa njia iyo make sure usiwe mwongeaji sana kazini coz ukitoka kidogo tuu boss atataka kujua upo wapi try kuwa mtu cool sana , kitu kingine usimwambie mtu yoyote icho kitu coz kesho ni fumbo , kitu kingine kipindi cha UE try kuchukua sick sheet then unapeleka hospital unaongea na doctor anajaza siku chache ili upate mapumziko ( kumbe ww unaenda kufanya UE )
Nimeongea kitu ambacho nilifanya na nikafanikiwa ( experience )Huo utaratibu unaoshauri si utaratibu rafiki!! Ukitumia utaratibu huo ukikwama unakwama jumla!! Hivi wewe utaweza kufanya ujanja ujanja ukafanya UE kwa wiki mbili? Halafu ni masomo ya muda mrefu si chini ya miaka mitatu!! Wakati wa field utafanyaje kama masomo yako yanahitaji field? Halafu ni lazima ujue kuwa uaminifu kazini unalipa sana, na udanganyifu ni sumu ya maendeleo yako binafsi!! Ujue hao viongozi wako kazini ni watu wazima na wana uzoefu wa kushughulika na watu wa aina nyingi. Wakikujua ni mdanganyifu wa kiwango hicho utajikuta una barua lundo za maonyo kwenye faili lako. Zikitokea fursa za semina au safari wewe haupewi!! Madaraja hautapanda kwa wakati, na mwisho wa siku unaishia kupata frustration kubwa kazini!
Hapana! its just a coincidence!Mkuu, naona mifano yako mingi imeegemea sana kwenye kada za uvuvi (I've observed).
Vipi kwani na wewe ni "mwenzetu" ?